Mashine za selcom na max malipo

THE RIGHT

Member
Jan 2, 2012
57
3
Hello to everyone here, naomba msaada kwa mtu ambaye anaweza akanisaidia mwongoza wa namna ya kupata mashine za selcom na max malipo. Nitashukuru sana kwa mwitikio chanya juu ya ombi langu. Ahsante.
 
Mashine za maxmalipo zinapatikana kwa shikingi 840,000 hapo kila kitu hadi hela ya mtaji humohumo.... hakuna usumbufu wakupata hizi mashine, we nenda pale millenium tower
 
Mm naiuza Mashine yangu ya Selcom,n mpya kabisa!! Sababu nimekosa mtu wa kuisimamia hiyo biashara!! Bei n 400,000 karibu
 
Mashine za maxmalipo zinapatikana kwa shikingi 840,000 hapo kila kitu hadi hela ya mtaji humohumo.... hakuna usumbufu wakupata hizi mashine, we nenda pale millenium tower
Unapolipia hiyo hela unapewa na mtaji wa kiasi gani
 
Naomba kujuzwa hizi machine zina Fanya kazi ya kutoa na kuweka pesa(m -pesa ,tigo -pesa)
 
Kwa jinsi ninavyojua mimi kufanyakazi na selcom au max malipo inakupa faida mara tatu zaidi ya kuwa wakala wa mitandao ya simu.Maana hii kazi naijua vizur na ninauzoefu nayo
 
Mm naiuza Mashine yangu ya Selcom,n mpya kabisa!! Sababu nimekosa mtu wa kuisimamia hiyo biashara!! Bei n 400,000 karibu
Nina 300,000 kiongozi, uko maeneo gani?, sasa nikinunua hiyo mashine kwako, ndio tosha kuanza biashara au natakiwa kwenda kwao kujirejista?.maana hiyo mashine itakuwa imerejistiwa Kwa jina lako so ndio?
 
Back
Top Bottom