Recent content by John Mloy

  1. J

    Vijana msije mkajitoa mpaka kupoteza maisha yenu kupigania vyama maslahi hivi

    Siku zote huwa nawaambia vijana fanyeni siasa, fanyeni ushabiki wa kisiasa, wapendeni viongozi wa kisiasa lakini kamwe msije kujitoa mhanga kiasi kwamba mnahatarisha maisha yenu kuwapigania wanasiasa au vyama vyao. Wanasiasa wote unaowajua wapo pale kwaajili ya maslahi yao na familia zao kwanza...
  2. J

    Kwa wajuzi na wajuvi wa Kiswahili, nini Kiswahili cha haya maneno?

    Neno sahihi ni Rais mchaguliwa
  3. J

    Usiingie mahusiano na asiye na uvungu mguuni, Utajuta

    Nachofahamu mimi watu ambao hawana uvungu chini ya miguu hawawezi kuajiriwa jeshini kwasababu tu ya kibailojia, huwa wanachoka haraka sana, akitembea mwendo kidogo hoi, kwahiyo mikikimikiki ya jeshini hawezi!
  4. J

    Wale Vipanga wa Form 4 & Six wanaokuwa kumi bora huwa wanakwenda wapi? Wangetusaidia kwenye kesi za Usuluhushi

    Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi hawa vijana wanaoshika nafasi za juu kwenye matokeo ya kidato cha Nne na Sita ambao kimsingi huwa na ufaulu wa Division 1.7 kwa Form Four na 1.3 kwa Form 6 huwa wanaishia wapi? Kwasababu najua kuna wengine huwa wanasoma Sheria, kwanini wasingekuwa...
  5. J

    Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

    Angalia hii mikeka ya leo linganisha na huo wa kwako uone kama iko sawa
  6. J

    Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

    Muwe mnajiridhisha na taarifa zenu kabla hamjatuma humu, huo mkeka uliouweka ni wa zamani na sio wa sasa!
  7. J

    Turudi nyuma kidogo, ilikuwaje CHADEMA wakasusa katikati ya bunge la katiba?

    Kama kumbukumbu zangu ziko sawa CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA walisusia bunge la katiba likiwa katikati ya majadiliano na likiwa ktk hatua nzuri ya kupata katiba nzuri ya wananchi. Sababu kubwa ya kususa ilikuwa ni kutokubaliana na CCM juu ya muundo wa Mungano, wakati CHADEMA wakitaka...
  8. J

    Farewell to Angela Merkel

    Germany bid farewell to Merkel with six minutes of warm applause. The Germans elected her to lead them, and she led 80 million Germans for 18 years with competence, skill, dedication and sincerity. During these eighteen years of her leadership of the authority in her country, no...
  9. J

    GE2020 Hatimaye Wabunge 19 wa Viti maalumu wa CHADEMA wajitokeza kuapishwa Dodoma. Viongozi wa CHADEMA wakana kupeleka majina yao

    Nimeona watu wengi wanawashambulia wabunge wa viti maalum CHADEMA waliokula kiapo leo. Lakini kwa maoni yangu naona wako sahihi kabisa kwenda bungeni angalau kuongeza ladha ya bunge ambalo tayari limesheheni wabunge wa CCM. Ingekuwa vema kma CHADEMA wangekuja na suluhisho la nini watafanya baada...
  10. J

    GE2020 Umejifunza nini kwenye mkutano wa Membe na waandishi wa habari?

    Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais. Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza...
  11. J

    Wanyakyusa na Sanitizer

    Ndugu zangu Wanyakyusa ni Sanitizer siyo Sahani Tisa!
  12. J

    Pascal ni mchumia tumbo, tumpuuze

    Nimegundua watu wengi humu JF sio "great thinkers" kama wanavyojiita. Threads za Pasco inahitaji uchangamshe akili kidogo ili uweze kumuelewa. Anaweza akaandika ukafikiri anasifia kumbe anaponda na kinyume chake. Sasa kutokana na uandishi wake huo watu wamekuwa wanafikiri ameegemea mrengo...
  13. J

    Gari aina ya Toyota Gaia.

    Wadau hii gari nimekuwa nikiielewa sana kuanzia muonekano, space kwa ndani na uwezo wa kubeba watu wengi (7 seats). Naomba mwenye uzoefu au anayeielewa vizuri anidadavulie kuanzia unywaji mafuta mpaka ubora na upatikanaji wa spea. Nawasilisha
Back
Top Bottom