Warue
JF-Expert Member
- Aug 9, 2012
- 424
- 810
Kosa la Paskali like wapi??, comment yako ulipublish wazi kwa kila mtu, he, pacha akiipost tena anakuchongea??, tatizo Hua mnaandika vitu msivyoviamini wala kuviishi. Paschali amerudia ulichocomment
Sent using Jamii Forums mobile app
Paschal nimeona tuhuma zako ukituhumu comment yangu kwamba mimi ni shetani ila mimi nakujua nje ndani na nikuhakikishie hauwezi kunichonganisha kama unalivyofanya kwa wakina Kabendera na upinzani kwa ujumla naomba utulie nitakuanika upuuzi wako wote.
Ulimtukana Magufuli 2014 leo unataka akupe kazi? Ulikula pesa kiasi gani za Lowassa 2010- 2015?
Unaendekeza ukabila unaacha kusema ukweli kisa kutafuta cheo kwa Magufuli?
Shetani ni wale wote wanasapoti mauaji, utekaji na kuzuia uhuru wa wengine kukosoa viongozi wao na nakuhakikishia hautapewa hata ubalozi wa nyumba kumi.
Siogopi chote na sina njaa ya pesa wala ya chochote kama ulivyo wewe naomba uache uchonganishi, ukabila na njaa.
Achana na watu, deal na mambo yako.
Sent using Jamii Forums mobile app