Recent content by Johas

  1. Johas

    TRA's Kitilya to retire from public service, Blandina Nyoni or Dr. Dau to take over...

    . Mkuu..kama ulivyotoa dokezo hapo jinsi Blandina alivyosaidia kambi ya Mr.malaika then.. mwendo ni huo huo wa 2015...,lazima ccm wamuweke mtu wao pale wa mikakati...nchi gumu sana.
  2. Johas

    Connect Dots: Jambo Leo Liliandika "Maisha ya Mwakyembe Hatarini"... Pinto aliwasindikiza Airport!

    Wakuu.!!! ndio issue hii ni ngumu sana, hasa kwa Nchi kama Tanzania na serikali yake... Wahusika watajulikana tena kwa kutajwa kwa majina na ushahidi wa wazi kutolewa... Je.! Mnakumbuka sakata la mwintanga yule wa chama cha ngumi za kulipwa.?? Kesi iliishia wapi?..,alifungwa??..hii ndio...
  3. Johas

    Silvio Berusconi jailed for 7 years.

    kweli mkuu.., hata kwa wale ambao ushahidi ni uwazi kabisa..iddi simba.!!!!
  4. Johas

    Mauaji ya Padre: Askofu Pengo ailaumu Serikali ya Rais Kikwete

    ...ni kweli mkuu Ndakilawe.!, kwani maandiko matakatifu... yanasema..msilipiziane visasi na hasira kwani ayo yote ni nyake MUNGU.
  5. Johas

    Wanawake wenye sura hii kuhangaika na kuvurugikiwa.!

    you are absolutely perfect.! by all standard.
  6. Johas

    Tanzania yaingia kwenye List ya Moja ya wanunuzi wapya wa Siraha za URUSI

    Moja ya njia Muhimu kwa usalama wa Nchi yoyote duniani.. ni kuwepo kwa usiri mkubwa wa silaha zake ilizonazo.. achilia mbali hizi "talent show" wanazofanya vikosi vyetu hapa.. ndio ukasema "Ngome" iko ivyo.!!, ulinzi wa nchi ni lazima pawe na usiri wa silaha.
  7. Johas

    Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

    Mmmh...! hapo namba 8..jaribu uone kama utakubalika.!!!.. wao mara nyingi inakuwa kinyume.
  8. Johas

    Hii ni busara au kukata tamaa

    Ndaga tumpale.! Sijui sheria ya Sumatra inasemaje kuhusu aina ya matumizi ya usafiri wa namna iyo... Kwa uelewa wangu sheria hairuhusu kwa aina iyo ya magari,i.e Malori/pick up kutumiwa kama.. chombo cha usafirishaji kwa abiria. Lakini sikuzote penye shida busara inakuwa ngumu sana...
  9. Johas

    What did Yvonne Chakachaka meant when she broke the protocol on GAVI forum opening at state house!

    aah Mkuu mbona naye bingwa kiswahili mbovu mbovu... jabari.!..kimono.!.kobovu.! maana yake nini? au ni misamiati mipya.!
  10. Johas

    ndio maana akabadilika.

    Hapa leo ndio nimekujua vinzuri mkuu Mentor.. Hizo zako Hekima...Hatari sana.!!
  11. Johas

    WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira wahukumiwa kifo!

    Mkuu.., Zombe naye ajiandae kwani sheria haichi asili ya mkondo wake... hata ukijalibu kuipindisha..kwani wakina zombe walishinda ile kesi kimizengwe tu. Damu iliyomwagika ya wale vijana bado inamuita..tusubiri rufaa ya serikali mwenzi ujao.
  12. Johas

    Kupiga kelele wakati wa Tendo la ndoa(swali kwa wanawake)

    Mkuu... Kuna familia moja kule uingereza, walishitakiwa na kutozwa faini ya Paundi nyingi tuu.. kwa usumbufu kama huo kwa majirani wa Mtaa..Ni vema utulivu ukachukua nafasi yake.. kama nyinyi wote ni wana Ndoa.
Back
Top Bottom