assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
kwani nimegeneralise nananhuyu alifanya uasherati na minor. Do not generalise issues.
Sent from my blackberry 9860 using jamiiforums
kwani nimegeneralise nananhuyu alifanya uasherati na minor. Do not generalise issues.
Sent from my blackberry 9860 using jamiiforums
ila prblem ni kupenda utamu kama mzee wa utamu wa bongo uongo mkuuhii mahakama uliyomuhukumu ni mahakama ya mwanzo. Unaweza kukata rufaa mahakama 2 za juu kwa italy.
na siasa wataziona chunguduuu sharia kwa wakubwa ikifika bongo,wengi watafungwa jela
Siyo mwanasheria ila ni mdaku tu.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
ila prblem ni kupenda utamu kama mzee wa utamu wa bongo uongo mkuu
kuna tofauti gn kuchukua binti mdogo na kuchukua mke mtu kisheria tupe mkuuhiyo ilikuwa blackmail. Sema tatizo kubwa siyo kukunua mambo yetu yale tatizo ni umri wa binti.
kuna tofauti gn kuchukua binti mdogo na kuchukua mke mtu kisheria tupe mkuu
sheria inasemaje kuchukua mke wamtu na kumfanya wako nijuze mkuukwa sheria za wenzetu ikiwa mimi ni mwanaume nina miaka 17 ninaweza kuwa na uhusiano na binti mwenye miaka 16 (mapenzi ya kitoto). Kwa sheria za italy ni marufuku mwanamme yoyote mwenye miaka zaidi ya 18 kufanya tendo la ndoa na binti aliye chini ya miaka 18. Hata kama binti huyo anajiuza.
sheria inasemaje kuchukua mke wamtu na kumfanya wako nijuze mkuu
Wenzenu wanawashitaki watawala wao hata kwenye mambo ya ufuska lakini nyie wadanganyika mnaona woga kuwafungulia mashtaka watawala wenu wezi wa maliasili za nchi!!!
Malaya wa kiarabu..alishtuliwa dili tuu...km si mtego.Kwani berlusconi alipewa zawadi ktk party akamnunua..Ila kwa waarabu huyo kiumbe ni mma wa makamo tuu.Huyu alifanya uasherati na minor. Do not generalise issues.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums