Recent content by Johape

  1. Johape

    Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Mbaga Msindo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Johape

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Katika drama ambayo nitabaki kuipenda ni Jumong...mpk sasa cjui niangalie drama gani maana bado cjapata inayofanana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Johape

    Angalia Mwezi Ukipatwa Leo Jioni – Watch Lunar Eclipse Tonight

    nimeshudia Arusha unaonekana vzr Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Johape

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Anzisha tafadhali ila usikatishe plz
  5. Johape

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Tumosa vp tena mikono kwa kichwa.
  6. Johape

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Nikuwanyima mapato wamiliki jaman kanunueni tu..nilianza kuandika ila nilipoona vimetoka nikaacha maana itakuwa sio uungwana jaman.
  7. Johape

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Nunueni vitabu jaman mkitegemea humu ndani mtaumia maana unakuta nafasi ya kupost hakuna.
  8. Johape

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Basi na mi siendelei nisijiletee matatizo bora mtafute kitabu wapendwa..maana sukujua kama ni maalum nilijua ni burudani...[emoji15]
  9. Johape

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Ngoja niangalie nafac yangu ila leo nitajitahidi
  10. Johape

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    VII ILikuwa saa kumi na nusu Ozu alipowasili nyumbani kwa Robert.Alipoingia aliwakuta Willy,Robert, na msichana mmoja mzuri sana ambaye alitambua kuwa atakuwa ni Tete.Alimwangalia Willy na Robert machozi yalianza kumtoka tena,mara moja Willy na Robert wakatambua kuwa Kofi ameuawa.Robert...
  11. Johape

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Ngoja niangalie kama muda nitakuwa nao nitaendeleza kidogo ila ctapata matatizo kwa wahusika?
  12. Johape

    Riwaya: Kikosi cha Kisasi

    Natamani ningeendeleza ila nafac imebana polen..nina hicho kitabu
  13. Johape

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Nawapenda Nikiwe na Sku nataman warudiane
  14. Johape

    Arusha: Wananchi waandamana kumuunga Mkono Rais!

    sema baadhi ya wakazi wa Arusha..mi cjaona hayo maandamano na niko Arusha ktkt ya mji.
  15. Johape

    Kodi mpya ya majengo imekaaje kisheria?

    Mi napenda kulipa kodi ila kuna jambo sijaelewa..mama alijenga nyumba mwaka 2000 ila haijawahi kupimwa walipita kipindi fulan kupima ila hawakufika kwenye eneo letu,sasa nalipa vp kodi na kama bado eneo halijapimwa na zaidi ya hapo kuna taarifa nyumba zilizopo eneo hilo zitabomolewa sabb ziko...
Back
Top Bottom