Angalia Mwezi Ukipatwa Leo Jioni – Watch Lunar Eclipse Tonight

Angalia Mwezi Ukipatwa Leo Jioni – Watch Lunar Eclipse Tonight

Je umehamasika kuangalia leo tukio la Kupatwa kwa Mwezi

  • Ndiyo

    Votes: 20 76.9%
  • Hapana

    Votes: 5 19.2%
  • Ninahofu

    Votes: 1 3.8%

  • Total voters
    26
Vipi wakuu hii unaichek live au mpaka miwani ?
 
Nami nimeona nakumbuka zamani kijijini kwetu tulikuwa tunapiga mabati
 
from moro town,na mimi nimeiona hali hiyo!
 
Blessed JF... Nice to see live
 
So amazing to feel the kivuli is our earth wow,... When I grow up I wanna work at NASA
 
Tutoeni hofu wakuu.... Kuna madhara kutizama kodoo...

Maana tunakodoa hapa..
 
Muda wa Mwezi Kupatwa Kiasi Leo Jioni Jumatatu 07 Agosti, 2017

12:50 Jioni Kivuli chepesi chaanza kufunika Mwezi (hatuta hisi sana)
2:23 Usiku Kivuli cheusi chaanza kufunika Mwezi, kutoka ncha ya chini kulia ya Mwezi
3:20 Usiku Kivuli cheusi kitafunika robo (1/4) ya Mwezi upande wa chini kulia
4:18 Usiku Kivuli cheusi chatoka nje kutoka ncha ya juu kulia ya Mwezi
5:51 Usiku Mwezi utaachwa kabisa kutoka kivuli chote cha Dunia.


Kwa maelezo zaidi kuhusu kupatwa kwa Mwezi soma:
Google Sites


Times for Partial Lunar eclipse times Monday 07.Aug.2017

6:50pm Penumbral faint shadow starts
8:23pm Umbral dark shadow starts
9:20pm Max eclipse (1/4 Moon covered)
10:18pm Umbral dark eclipse ends
23:51pm All eclipse ends.

For more information about this Lunar Eclipse, read:

Google Sites

View attachment 560308

View attachment 560309
Haya wale watu wa dini kuu pendwa huu ndo ule muda wa kuonyesha ujinga wenu..! Muanze kuelekea kwenye nyumba zenu za ibada mkaombee kupatwa kwa mwezi..! [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom