Kuna waliosema hapa jukwaani kuwa ccm imekufa Arusha. Kulikoni?Kwani ukisema uvccm wa arusha utapungukiwa nini?
Hakukuwa na bendera ya Chama ..chochote
Niletee picha za waliovaa jezi za CCM!
Msalimie mwenyekiti KIPALA wa chamaKuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.
lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.
View attachment 527071
Baadhi ya Wananchi wa Arusha wakifanya Maandamano yakumuunga mkono Rais Magufuli
My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Watu wa Kaskazini hatuwezi kufanya huo Upuuzi.... Hao ni majuha ya CCMHao ni wapuuzi wa CCM wenye akili ndogo km mwenyekiti Kipara
Habari ujenayo wewe picha walete wengine..Kwa walioko Arusha mida hii mnaweza kutuletea picha..
Mie nimeona tai ya kijani au utasema ni Waziri Mwigulu? Bwana Ngushi naona nyie mmeshaamua liwalo na liwe, hadi binti wa Sokoine mkamkataa alipokataa ujinga wa kwenda chadema.Nimeona mashati ya kijani mengi kweli
Arusha hakuna CCM Kama maandamano yenyewe niliyoyaona ndio hayo.Wana wa Arusha ni waelewa hawapelekwi
Kama wewe ni mtanzania na una akili timamu, huwezi kuacha kazi zako ukaandamana kumpongeza mtu anayetimiza wajibu wake, na ambaye analipwa kwa kodi yako.Kama kweli wewe ni Mtanzania na una akili timamu
Huwezi kuacha kumpongeza Rais kwa hili
KibenderaKama.wewe ni mtanzania na una akili.timamu, huwezi kuacha kazi zako ukaandamana kumpongeza mtu anayetimiza wajibu wake, na ambaye analipwa kwa kodi yako.