Recent content by joel amani

  1. J

    JamiiForums Tanzania Simba sports club tv hewani

    mm nilikuwa napita tu,kwi!kwi!kwi!kwi!kwi!kwi................................!!!!!!!!!!!!!!! rage noma hajawahi shinda hata nje ya dar es salaam tangu msimu huu mpya ligi teeeeeeeeee teeeeeeee!!,nalog out
  2. J

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

    simba wamejisahau sana walidhani ni azam walioachia mabao
  3. J

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

    mpaka sasa morogoro Simba 0 - Polisi moro 0
  4. J

    JamiiForums Tanzania Jamani Mume wangu Ananiogopa...

    Huyo jamaa inawezekana anatatizo kama langu vile,hata mm kwa mwanamke hasa yeye ndo kanitaka then hanivutii kingono huwa nakuwa nina aibu hata kuongea naye,akivua ndo tobaa! naona kama namchungulia dada yangu,sasa ngoma nimpate tunayependana sawa niko tayari hata hadharan kungonoka,huyo jamaa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini hii picha halafu toa maoni

    Kweli hii uchanganye na uchafu mwekundu hivi itakuwaje? vodacom ni free masson na marangi yao
  6. J

    JamiiForums Tanzania Teh teh teh,atimae VODACOM wameufyata mkia kwa YANGA!

    walikuwa wanabeep kwa yanga walidhani ni simba wafyata mkia,naipongeza yanga kwa msimamo wao
  7. J

    JamiiForums Tanzania Huyu dr wa kwenye mdahalo wa itv jumapili kasomea fani gani?

    mm nalogi auti bana mana mbavu zinauma
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka facebook fanpage ya Jumuia ya Uamsho

    mm ningewashauri waende ofisi za free massons watamkuta huyo farid wao,waache kugombana
  9. J

    JamiiForums Tanzania Maneno yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile, tupia unalokumbuka

    du! nimesahau kidogo nikikumbuka narudi
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuhusu hili?

    sasa waliosoma open inakuaje?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Study abroad

    ndo unayowaza hayo siku zote,pole wakupakatwa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Kifaransa Anahitajika

    mm natafuta anayefahamu kihehe mana kuna kijana wangu kutoka india anakuja mwezi ujao kwenda iringa kumsalimia babu yake,anayejua kihehe anijibu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Study abroad

    mm nahitaji kwenda ukraine mkuu ila unitafutie kwanza sponsor na aingize pesa kwenye akaunti yangu ndo tuanze mchakato wa kutafuta chuo ukraine,nikimaliza masomo nitafanya kazi kwake,kinyume na hapo mkuu nitaendelea na HESLB mana karibia namalizia njenge yangu kupitia udhamini wao,tusisumbuane
  14. J

    JamiiForums Tanzania Uliyechuo take care

    siku hizi kufa ni simpo sana,mm na manyota hatushangia ila Mungu amsaidie huko aendako
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli kuhusu hili?

    teeeee teee! hivi dodoma kuna chuo kikuu kumbe,kudadeki nilijua ni mkusanyiko wa waalimu,wazee na wote waliosoma shule za kata! tee! tee! ili kuhusu ajira kuna dogo ameliza huko chuo cha kata udom yupo dar maeneo ya ubungo riverside,mwaka wa 3 sasa hajapata ajira,alisomea sociology sasa...
Back
Top Bottom