Kuna ukweli kuhusu hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna ukweli kuhusu hili?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Wilbarda, Oct 17, 2012.

 1. W

  Wilbarda Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ukisoma udom huwezi kuajiriwa?
   
 2. Niwemugizi

  Niwemugizi JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Changanya na zakwako
   
 3. dunia ndivyo ilivyo

  dunia ndivyo ilivyo Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  fafanua zaidi.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  nani kasema?
   
 5. j

  joel amani Senior Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teeeee teee! hivi dodoma kuna chuo kikuu kumbe,kudadeki nilijua ni mkusanyiko wa waalimu,wazee na wote waliosoma shule za kata! tee! tee! ili kuhusu ajira kuna dogo ameliza huko chuo cha kata udom yupo dar maeneo ya ubungo riverside,mwaka wa 3 sasa hajapata ajira,alisomea sociology sasa anapigisha disko toto kwa siku anapata buku 2,
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hata mie nimesikia hii habari ila sidhani kama kuna ukweli ndani yake,swala la ajira ni timed bomb kama alivyosema Lowasa.
   
 7. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hakuna haja ya kuwavunja nijana tamaa, kuajiriwa kunategemea na uhitaji wa nafasi husika katika sehemu fulani. kama program uliyosomea inakuwa haina demand sana na wenyesifa ni wengi basi hapo itaangalia chuo,kiwango cha ufaulu n.k.
  lakini kila chuo kikuu hapa tanzania kina sifa sawa na kingine kwa upande wa kutoa wahitimu..
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  sio kweli banaa............
   
 9. j

  joel amani Senior Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa waliosoma open inakuaje?
   
Loading...