Kutoka facebook fanpage ya Jumuia ya Uamsho

Status
Not open for further replies.
الثناء يسوع المسيح! أنا لا أتفق مع المسلمين الذين جلبوا العنف الديني! الحكومة تأخذ مني استجابة قوية

mkuu hii ndo nn?

sio wote tumesoma madrasa,

hapo ndo uwezo wako umeishia?
 
Hawa watatulia 2 nackia kuna wakurya kutoka JWTZ awamu ya kwanza washafika kuna awamu kama 5 zenye idad ya Askar 2000,SO ACHEN WAJISIFU HAFU WATAJUA KILICHOMTIA KHANGA MADOA.
 
mkuu hii ndo nn?

sio wote tumesoma madrasa,

hapo ndo uwezo wako umeishia?
tupo oman huku! unaweza kuandika vizuri kiswahili ,ghafla kikabadilika kuwa hii lugha yao
sijui kwa sababu gani? kama ipo dar mtafute sheikh ponda au sheik kundecha atakusaidia
kama upo znz watafute uhamsho crew!
 
MUNGU anakataza KU-UA, wao wanajisifu watachinja mtu kama kuku, si huwa wanasema wakichinja kafir ndio wanakwenda peponi, sasa mbona wamemchinja said muislamu mwenzao, sasa hapo inakuaje?? kuna pepo hapo tena??!
 
Wamefikia hapa

TAMKO LATOLEWA NA AMIR MSELLEM.
Amir Msellem anasema serikali na wao mpaka sasa washashindwa kumtafuta kwahyo suala hili wanarejeshewa wa zanzibar wamtafute shekhe wao wenyewe.
sheikh Msellem asema wapi pakumtafutana kumpata waislamu na wazanzibar wanajua.
Kwa sote tunatakiwa tuanze kumtafute.
Haya waislamu Jihad inaanza.
Tutoke tukamtafute mpaka tumpate.
 
Hawa watu majini yanawachanganya sana. Ndo hasara ya kufuga majini hiyo. Ila naomba wasamehewe bure na Mungu wa mbinguni.
 
الثناء يسوع المسيح! أنا لا أتفق مع المسلمين الذين جلبوا العنف الديني! الحكومة تأخذ مني استجابة قوية

unabahati kweli kama yule dogo alikojolea mim ningeyanyea haya maandishi unabahati nitaiharibu simu yangu.. Nyie leteni ushenzi wenu woote lakini kesho mkijitera tuu wanajeshi wana wapahaki yanu kwa kumiminiwa risasi za moto
 
Ndo maana baadae huwa mambo yao hayafanikiwi. Kama una mgogoro na nguruwe, halafu tukakukuta unapigana na kuku lazima tu question akili yako. Sasa hapa wanasema serikali imemteka mtu wao, halafu wanaenda kuchinja mapadre. Kwani serikali ya zanzibar inaongozwa na mapadre?
Kama ni mfuatiliaji mzuri, utaona kuwa hata hapa JF kuna hao wanaojiita wakristo wana maneno ya dharau sana kwa ndugu zetu waislamu. Nakuhakikishia hii chuki haitakwisha na tutachinjwa sana, maana sisi waoga hatutaweza kulipiza kazi kutukana tu!
 
Ndugu zangu wa jf naomba tujuwe kuwa sisi sote tu wamoja tupendane na tuheshimiane kwa imani zetu wewe hata kama mtu amekukasirisha usiwe mwepesi kutukana au kudharau dini ya mwenzako wachangiajee wengi wanaonyesha hasira na matusi kwa imani za watu wengine angalia akichangia mkiristo anatukana na kuusema uislam na muislam naye anautukana ukristo kwa misingi hiyo tutaendelyea kuchukiana jambo la msingi kwa wasomi na watu waelewa wa jf tutafute njia ya kutuunganisha pamoja waislam na wakristo
 
Kuna Mashehe wanabusara sana.

Leo nilikua namsikiliza Shehe mmoja akisema ; wapuuzwe wale wote wanaotaka Ijumaa iwe siku ya mapumziko kama ilivyo kwa wakristu Jumapili.
Akazidi kusema, Quran haina siku ya kupumzika, bali ina muda wa kupumzika. Na akanukuu vifungu kadhaa.
 
hii ni dhambi, iliyooteshwa kwenye vichwa vya watu, kuitoa inaitahi juudi binafsi. inaudhi lakinikukashfu wengine siyo suluu
 
Hawa watu majini yanawachanganya sana. Ndo hasara ya kufuga majini hiyo. Ila naomba wasamehewe bure na Mungu wa mbinguni.
acha kukashifu imani ya wenzako!
usilazimishe wapende imani yako!wenzeko vita yao ni nyama kwa nyama
sasa wewe roho kwa roho,usilete hapa
utakuwa mchochezi
 
Ndugu zangu wa jf naomba tujuwe kuwa sisi sote tu wamoja tupendane na tuheshimiane kwa imani zetu wewe hata kama mtu amekukasirisha usiwe mwepesi kutukana au kudharau dini ya mwenzako wachangiajee wengi wanaonyesha hasira na matusi kwa imani za watu wengine angalia akichangia mkiristo anatukana na kuusema uislam na muislam naye anautukana ukristo kwa misingi hiyo tutaendelyea kuchukiana jambo la msingi kwa wasomi na watu waelewa wa jf tutafute njia ya kutuunganisha pamoja waislam na wakristo

ndugu umenena vyema am curious na huu UDINI
 
Polisi hawawezi tena wanawaongezea nguvu Uamsho, Jeshi liingie tena kwa makini kwa sababu Majeshi tiifu kwa Zanzibar yanajiandaa kumwaga silaha kote uraiani
 
jakaya bado ajarudi tu,sijui AKITOKA OMAN ANAENDA WAP TENA? LAKIN INAFAA ARUDI KUTULIZA MZUKA WA JAMII YAKE UKU KABLA AKIJAUMANA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom