Kwa mfumo wa elimu wa Tanzania kabla ya mtu haja specialize kuwa DR au proffesor uwa anapitia masomo mbalimbali,kuna dada mmoja kwenye mdahalo ulioonyeshwa na ITV Jumapili anaitwa Clesencia Shule aliongea baadhi ya vitu ambavyo vilitufanya wengi tujiulize uwezo wake academically na uelewa wake kwa ujumla,hasa alipokuwa anawakanya vijana wakae mbali na siasa kuwa heti haina maana yoyote katika maisha yao.Mimi na wenzangu tulijiuliza kuwa huyu dada kapitia mfumo gani wa taaluma hata hasijue umuhimu wa siasa na utandawazi?pia hiyo Doctorate ni ya nini hasa na aliipiatia chuo gani?wakati nikiwa chuo miaka ya 47 tulikuwa na muhadhili mmoja wa contemporary politics aliyekuwa anatoka nchi za kikomunist alikuwa anaitwa VAN DONGE-Doctoral candidus,huyu naye alikuwa confused confused katika mada zake na mnaomkumbuka alizoea kutembea na kikapu cha ukiri akiweka material yake,tulipokuwa tuna argue naye alizoea kusema kuwa inawezekana mko sahihi lakini if you want to pass your exam you have to write what your teacher wants to read,na from then nilianza ku question bahadhi ya doctorates za watu.