Study abroad

ngaramuu

Member
Oct 16, 2012
5
0
Wanafunzi wanaopenda kusoma india,china,ukraine na malaysia.tunakusaidia kupata chuo,kupata visa na ushauri hadi pale unapo fika chuoni. Kuanzia diploma,degree na kuendelea.ni pm au tuma email lusupathfinder@gmail.com
 
Toa maelezo mazuri basi ili tuelewe wengine twatumia visimu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
watanzania muwe makini matepeli wengi sana siku hizi.
kupigia simu mtu usiemjua halafu yupo Ukraine ni hatari
Kuna wengine wanatoa namba za simu halafu ukimpigia tu basi imekula kwako
 
unajilipia mkuu ila kama unahitaji na unauwezo unaweza nitafuta email yangu ni ...lusupathfinder@gmail.com.
 
mm nahitaji kwenda ukraine mkuu ila unitafutie kwanza sponsor na aingize pesa kwenye akaunti yangu ndo tuanze mchakato wa kutafuta chuo ukraine,nikimaliza masomo nitafanya kazi kwake,kinyume na hapo mkuu nitaendelea na HESLB mana karibia namalizia njenge yangu kupitia udhamini wao,tusisumbuane
 
Mwanaume mzima unataka ukalipiwe kusoma nje ya nchi wakikuomba masaburi watakuwa wamekosea?
 
Back
Top Bottom