Mwalimu wa Kifaransa Anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa Kifaransa Anahitajika

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Wabogojo, Oct 17, 2012.

 1. Wabogojo

  Wabogojo JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 355
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Heshima kwenu Great Thinkers!

  Nina kijana wangu yuko Songea Secondary school anahitaji mwalimu wa kumfundisha lugha ya Kifaransa, tafadhali kuna mwalimu wa lugha hiyo huko Songea basi naomba ajitokeze hapa ili niwaunganishe.
   
 2. j

  joel amani Senior Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mm natafuta anayefahamu kihehe mana kuna kijana wangu kutoka india anakuja mwezi ujao kwenda iringa kumsalimia babu yake,anayejua kihehe anijibu
   
Loading...