Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

Yanga vs Mgambo JKT, kutoka Uwanja wa Taifa

Polisi 1 simba 0 dk 38 leo mnyama kageuka mbwa
 
simba washafungwa goli moja.
polisi 1 - 0 simba.
yanga 1 - 0 mgambo. dakika ya 36. mia
 
Simba wamekosa goli wanapiga kona doto
 
Mwamuzi vp mbona hapulizi kipyenga?
 
Naomba Mungu angalau watoke droo matokeo yakiwa hivi hivi kocha wa Simba anaweza tupiwa vilago dk.45 kona sasa Ngasa anapiga
.....mbona Simba ataibuka mshindi tu!!!, kipindi cha pili ni mauwaji.
 
Mkuu Crashwise upo jamhuri? Okwi vp tena leo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom