Wanashindwa kuupata lakini wengi lengo lao ni hilo na hata lengo la mtoa mada ni kuwa kufanyakazi serikalini hakuna faida yoyote ila uwe kwenye sekta binafsi though amepost kwa mtindo kuuliza swali
Faida wanaipata wale wanaopewa huduma, kwake yeye ni wito na ameukubali wito huu ndio maana yupo hapo. Wale wanaohitaji utajiri wataenda sekta binafsi na lakini ili wafanikiwe ni lazima wapate huduma kwa mfanyakz wa serikali
Hizi tochi ni shiida, juzi nimesimamishwa Mkambarani Morogoro naonyeshwa gari yangu kwenye simu nikiwa nimeover speed lakini hakuna hata road sign inayoonyesha hiyo speed limit ambayo nimeover na nakumbuka safari yangu yote nilihakikisha nadrive kwa kufata sheria zote za barabarani. Nikabishana...
Ukitoka ofisi ya posta mpya jengo linalofuata ikiwa unatokea maktaba unaenda askari mornament. Mlango wa kuingilia upo kwenye angle ya hilo jengo kama unataka kukunja kushoto uende Imalaseko. Hope umenielewa
Nadhani ataondolewa kutoka kwenye kundi la watumiaji wadogo na kuwekwa kwa watumiaji wakubwa ambao bei per unit itakuwa kubwa kuliko kwenye kundi la watumiaji wadogo
Mara nyingi wachangiaji wenye uelewa mdogo badala ya kujibu hoja huwa wanakimbilia kwenye matusi, ndiyo aina ya mtu kama wewe. Mimi sihitaji kujua chini ya Wizara hiyo kuna Taasisi ngapi na ina wakuu gani, na kanda ngp hilo sio muhimu kwangu, ninachotaka kujua huyu mteule kama ni Kamishina wa...
TRA na BOT ni mashirika yanayojitegemea ambayo yapo chini ya Wizara ya fedha na sio Idara ndani ya Wizara, vinginevyo uniambie huyu kamishna alieteuliwa ataendesha shirika gani ambalo lipo chini ya Wizara ya Nishati na madini na kama kwenye barua hiyo wangetaja shirika atakaliendesha...
Hivi nafasi ya Kamishna wa Madini ni presidential appoitment? Sio Idara tu ndani ya Wizara ya madini? Au kuna baadhi ya Idara nafasi zake huwa ni za kuteuliwa na Rais? Kama ni hivyo ana kazi nyingi sana zingine angesaidiwa
1. Kutumia dictionery ppt nilipo
2. Scanning doc na send fax
3. Kuhifadhi doc, picha nk (recoverable when lost)
4. Kutrack watoto wangu wakiwa
Mbali na mimi
5. Kuangalia live tv news online
6. Kusoma news mbalimbali kama
bbc, cnn nk
7. Kufahamu kama bidhaa ni halisi
Kupitis bar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.