Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,067
Taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu Balozi Kijazi zinasema Rais John P. Magufuli amemteua aliyekuwa Kamishna Msaidizi wa Uchimbaji Mdogo, Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna Mkuu wa Madini.
Wakati huo huo Rais amemteua Adelarnus Kilangi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (Petrolium Upstream Regulatory Authority - PURA).
Wakati huo huo Rais amemteua Adelarnus Kilangi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (Petrolium Upstream Regulatory Authority - PURA).