Rais Magufuli amteua Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna wa Madini | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Magufuli amteua Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna wa Madini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Interest, Apr 21, 2017.

 1. Interest

  Interest JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 11, 2015
  Messages: 925
  Likes Received: 1,235
  Trophy Points: 180
  Taarifa kutoka kwa Katibu Mkuu Balozi Kijazi zinasema Rais John P. Magufuli amemteua aliyekuwa Kamishna Msaidizi wa Uchimbaji Mdogo, Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna Mkuu wa Madini.

  Wakati huo huo Rais amemteua Adelarnus Kilangi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli(Petrolium Upstream Regulatory Authority - PURA). 4efa3e32-d0ac-4905-ab9f-1841f4ae9549.jpg

   
 2. Automata

  Automata JF-Expert Member

  #41
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 3, 2015
  Messages: 1,524
  Likes Received: 1,363
  Trophy Points: 280
  • We bado unafuatilia mambo ya kijinga jinga, huna mambo mengine ya maana ya kufuatilia
  • Mfano Mkondo wa Juu wa Petroli (Upstream) mswahili wewe unauelewa?
   
 3. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #42
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,220
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 280
  Badae bhana unanchoresha tu!
   
 4. Manjagata

  Manjagata JF-Expert Member

  #43
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 4,211
  Likes Received: 1,735
  Trophy Points: 280
  Huyu baba karibia anateua mpaka watendaji wa Kata!!
   
 5. m

  mume wa mtu JF-Expert Member

  #44
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 11, 2015
  Messages: 440
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  malizia mwenyewe mimi uchochezi siuwezi:D
   
 6. Babu wa Kambo

  Babu wa Kambo JF-Expert Member

  #45
  Apr 21, 2017
  Joined: May 2, 2016
  Messages: 550
  Likes Received: 749
  Trophy Points: 180
  Na kweli huwa hakosei, ha haaa
  Muulize na Bashite vipi?
   
 7. NDESSA

  NDESSA JF-Expert Member

  #46
  Apr 21, 2017
  Joined: May 2, 2013
  Messages: 1,811
  Likes Received: 1,430
  Trophy Points: 280
  Mwenye uelewa wa Mkondo Juu atusaidie ufafanuzi.
   
 8. hayaland

  hayaland JF-Expert Member

  #47
  Apr 21, 2017
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 552
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  Mchwampaka ni mhaya namjua vyema
   
 9. Nichumu Nibebike

  Nichumu Nibebike JF-Expert Member

  #48
  Apr 21, 2017
  Joined: Aug 28, 2016
  Messages: 5,876
  Likes Received: 9,310
  Trophy Points: 280
  Kumbe kweli mavyeo bado yapo mengi.. Nape asikonde...
   
 10. P

  Pazii JF-Expert Member

  #49
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 17, 2017
  Messages: 360
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Hivi hizi nafasi za kazi za PURA zilitangazwa lini? Maana kuna kipindi zilitangazwa alafu zikafutwa.
   
 11. Automata

  Automata JF-Expert Member

  #50
  Apr 21, 2017
  Joined: Mar 3, 2015
  Messages: 1,524
  Likes Received: 1,363
  Trophy Points: 280
  • Oooh! mmechoka kusikia habari za kuteua na kutengua lakini wakati huo huo mnataka Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda atenguliwe
  • Kwa kweli akili zenu Watanzania mnazijua wenyewe
   
 12. h

  homegain Member

  #51
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 26, 2016
  Messages: 39
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 25
  Ungeelewa maana ya kamishna tu isingekupa tabu
   
 13. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #52
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,371
  Likes Received: 746
  Trophy Points: 280
  Toa mafuta au gesi asilia toka chini ardhi na kuyaweka nje au juu ya ardhi tiyari kusafirishwa ili yasafirishwe kwa kusafishws kwenye Refinery kama ilivyokuwa TIPPER
   
 14. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #53
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,803
  Likes Received: 517
  Trophy Points: 280
  Ni kutoka Lake zone huyo
   
 15. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #54
  Apr 21, 2017
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,851
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  Mchwampaka ni Wahaya au Bukoba.
   
 16. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #55
  Apr 21, 2017
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,371
  Likes Received: 746
  Trophy Points: 280
  Huwo si mkondo,ni process ya kutoa mafuta ghafi yaani crude oil au natural gas toka chini ya ardhi hadi nje ya ardhi.
  Tiyari kusafirishwa.
  Mkuu nauliza tu hiyo njemba ana uzoefu wa angalau kufikia OIM au ndio academician,naweza kumsaidia
   
 17. Hansss

  Hansss JF-Expert Member

  #56
  Apr 21, 2017
  Joined: Jul 17, 2015
  Messages: 2,288
  Likes Received: 2,476
  Trophy Points: 280
  wa dini ile ile ya wasomi eti eeehhh
   
 18. s

  singojr JF-Expert Member

  #57
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 28, 2014
  Messages: 3,024
  Likes Received: 2,803
  Trophy Points: 280
  Hiyo PURA ndo nimeisikia leo wana ofisi?
   
 19. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #58
  Apr 21, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 17,545
  Likes Received: 58,288
  Trophy Points: 280
  Kama unalijua si uliandike ili akusome au!?
   
 20. MrOnline255

  MrOnline255 JF-Expert Member

  #59
  Apr 21, 2017
  Joined: Feb 4, 2017
  Messages: 351
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 80
  iv ile kamati ya mwanzo umeenda kuchunguza mchanga Dubai Kama faru john walivomuendea S A au

  Na kabla ya uteuzi huu kulikua hamna kamishna/ametumbuliwa/amestaafu/ameacha kazi

  ???
   
 21. JNampanyula

  JNampanyula Member

  #60
  Apr 21, 2017
  Joined: Dec 12, 2015
  Messages: 25
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 5
  TRA na BOT ni mashirika yanayojitegemea ambayo yapo chini ya Wizara ya fedha na sio Idara ndani ya Wizara, vinginevyo uniambie huyu kamishna alieteuliwa ataendesha shirika gani ambalo lipo chini ya Wizara ya Nishati na madini na kama kwenye barua hiyo wangetaja shirika atakaliendesha nisingekuwa na wasiwasi na chochote. Ningependa mwelewa zaidi anieleweshe lakini sio wewe hujui chochote
   
Loading...