Recent content by J'MWA

  1. J

    JamiiForums Tanzania Sarafu mpya yatolewa leo na BOT

    safi sana
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji huu nitumie kigezo kipi kuomba chuo ?

    asante sana
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji huu nitumie kigezo kipi kuomba chuo ?

    asante sana mkuu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Watalamu naomba msaada kuku wanapukutika

    mkuu naomba utafute mafuta ya alizeti uwapake kwenye vidonda vyao. alielezea mkuu kubots kwenye uzi wake mojawapo. binafsi nilikata tamaa ila baada ya kuipata hiyo niliokoa kuku wengi sana. vipi unachanganya kuku na kanga? maana wao wanabeba huo ugonjwa
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji huu nitumie kigezo kipi kuomba chuo ?

    education mkuu mossad 03
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji huu nitumie kigezo kipi kuomba chuo ?

    kaka mambo vipi?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu wahurumie watoto hawa

    mkuu hakikwanza kuna watu hawajali kwenye hii nchi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu wahurumie watoto hawa

    Mkuu ni shida. binafsi nilijua hali imeisha sikufikiri kama wangefika hapo. just assume mtoto wa mkulima ambaye baada ya kumaliza kidato cha nne wazazi walitaka kumuoza,kapata nafasi ya kuendelea mnamfukuza shule.laiti mngejua jinsi alivotoka kijijini na jinsi alivyowaanisha wengi kuwa hata...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa elimu wahurumie watoto hawa

    Siku ya tukio nilikuwepo,ila nashindwa kuwaelewa walotoa hayo maamuzi . hali ya maji kondoa inafahamika, na ukiangalia wale watoto wana sababu za msingi.sitaki kuamini pia kuwa walotoa hayo maamuzi ndo wenye final say.suala la wao kuitisha press conference ni kuendelea kujifukuzisha shule...
  10. J

    JamiiForums Tanzania msaada 'pdf' inasumbua

    wakuu natumia nokia asha 201.nifanye nini ili niweze kusoma files ambazo ni pdf?
  11. J

    JamiiForums Tanzania sijawahi kuonja ladha ya bamia. Nasikia ni tamu sana.

    ukileta ujinga unafanyiwa ujinga! kama ukijichunguza mtoa mada hutarudia kuandika utumbo!USIFIKIRI HUJAELEWEKA,UMEPUUZWA!
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfuma katuma picha kwa Co-worker mwenzie

    shikamoo mwalimu wa physics
  13. J

    JamiiForums Tanzania Wana JF nataka kufahamu....,

    inawezekana kabisa,kuna waliofanya diploma bila kwenda advance saiv wanaendelea na bachelor,wanakuwa wamesoma diploma zinazohusiana na education labda na uongozi,af wanaendelea. nina mfano wa jamaa aliyesoma kiivo
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huko ni kwa mme wangu!

    ZANZI ALCOHOL 18% V/V hahahahahaha
  15. J

    JamiiForums Tanzania NMB waongeza kiwango cha mikopo kwa watumishi wa umma

    nimewatembelea leo nmb kwa mshahara wa mwl TGTS C wanatoa 8.5M,
Back
Top Bottom