Wana JF nataka kufahamu....,

Auncle Ajay

Member
Jan 26, 2014
35
95
Kuna uwezekano wa mwalimu wa prmary(certifcate) kuendelea kusoma dploma kisha degree bila kupitia A-level kwa prf.ya ualimu?
 

Auncle Ajay

Member
Jan 26, 2014
35
95
ofcoz ua right mdau,(me nko Unversty level) nltaka tu kupata ufafanuz wa kutosha kwan kuna vjana wanaitaj msaada kwa hli kwan wanadai chuon kwao kuna watu wanamna hyo.so ni mabshano yacyokuwa na mwelekeo sahihi.
 

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
13,460
2,000
Yes inawezekana,either afanyd acsee akasome degree(direct) au akasome diploma then degree kwa equivalent qualifications!
 

J'MWA

Member
Nov 1, 2013
51
0
inawezekana kufanya diploma, fuatilia....

inawezekana kabisa,kuna waliofanya diploma bila kwenda advance saiv wanaendelea na bachelor,wanakuwa wamesoma diploma zinazohusiana na education labda na uongozi,af wanaendelea. nina mfano wa jamaa aliyesoma kiivo
 

Auncle Ajay

Member
Jan 26, 2014
35
95
Idea yako n sahh mkuu kwan nmeambiwa kuna bw.mmja hv naye chuon kwetu anapga barchelor lkn hajapta A-level. Ntamtafuta niongee naye zaid adi njue ukwel kuhsu hili,nnavyofahm mwaka huu ndo wameanzsha prmary dploma na yawezeka ikawepo degree in prmary sku zjazo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom