Recent content by Jmtega

  1. J

    Ubora wa madawati ya mwendokasi

    Ni hatua nzuri sana ambayo lzm tumpongeze mheshimiwa rais kwa kulisisitiza hili. Wapo baadhi ya watendaji wasio waamnifu wa nataka kupiga pesa kwa hili pia. Kuna baadhi wanaruhusu yachongwe ya softwood lakini kwa bei ileile. Hii inafadhaisha sana. Kwa kweli hawa lazima walaaniwe kabisa
  2. J

    Sherehe za saba saba zihairishwe; Pesa ipelekwe kwenye Madawati

    Kinachoumiza ni pale baadhi ya watendaji wakijabudhiwa hizi pesa ili kufanikisha hili la madawati wanaona ni nafasi ya kupiga hela. Ule mtindo Wa asimilimia kumi. Wapo wanaotefeneza madawati kwa shs 50000 kwa kutumia soft wood, na wengine kujitahidi kuyageuza rangi yaonekane km ni hard wood...
  3. J

    Rais Magufuli na mfumo Kristo

    Jamani tunataka maendeleo. Nchi hii watu tunaendeshwa sana na mihemko ya kidini. Alipokuwa JK tulisema tuliyoyasema. Mkapa, Msingi, na Nyerere pia. Kwenye list ya wakuu wa wilaya katoa vigezo alivyotumia. Tuwaache wafanye kazi. Udini ni shimo la kifo
  4. J

    Tulia Ackson ni nani, CV yake ipoje?

    Ni suala la uelewa zaidi. Kwa uelewa wako hiyo umeiona sawa
  5. J

    Nitaachaje kuwa mbaguzi?

    Jitahidi kuyajua madhaifu yako unajua uwezo walio nao wengine
  6. J

    Ufaransa nao wadai EU referendum

    Ianze hii EA. Tupige kura tena, nahisi km sasa majibu yanaweza kuwa tofauti
  7. J

    Hatma ya Muungano: Wazanzibari wadai kura ya Maoni

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar utadumu tu, kigezo kikubwa ni kuwa indigenous wengi wa Zanzibar walitoka Tanganyika. Tuna vingi vinavyotuunganisha kuliko vinavyotuletea tofauti. Wanaoleta maneno mengi ni wanasiasa fulani fulani. Lkn kikubwa cha kupigia kura ni muundo wa huu muungano wetu...
  8. J

    Sababu za kurejesha uhusiano na Israel hazina mantiki

    Nahisi kuna kitu hakijawa sawa hapa. Binafsi siyakubali hayo tena toka moyoni mwangu. Na siyo yafanywayo na Israel tu. Nchi zote na hata vikundi vyote visivyo heshimu utu na ubinadamu. Na hata mtu moja moja asiyejali utu wa mwingine simtetei na nadhani sheria ichukue mkondo wake. Tanzania km...
  9. J

    Sababu za kurejesha uhusiano na Israel hazina mantiki

    Lkn kuendeleza msimamo ambao hauna impact yoyote kwa miaka 48 sidhani km kuna maana tena. Ni sawa tu na kuamua kupigana vita ambayo unajua utashindwa. Pia sidhani ushawishi wetu wa sasa kimataifa ni mkubwa hivyo kwamba kuendelea kuwa na msimamo huo kusaidie kuleta mabadiliko yoyote. Ni bora...
  10. J

    Sababu za kurejesha uhusiano na Israel hazina mantiki

    Aliipingana na sera ya nchi ya kutofungamana na upande wowote. Nakumbuka tulikuwa na hiyo sera. Nadhani sasa na muda wa kuangalia faida za kiuchumi zaidi. Sidhani kwa Tanzania kuamua kuendelea na huo msimamo ambao kwa miaka 48 haujaleta mabadiliko yoyote kama utakuwa na impact tofauti...
  11. J

    Sababu za kurejesha uhusiano na Israel hazina mantiki

    http://www.indaweb.com/oil/editorialopinion/tzemach.news.service01l.htm Nimeisoma hii kuhusu namna neno Palestine liliibuka nimestuka. Kumbe kweli haikuwepo nchi ya jina hilo. Wajerumani walitumia jina hilo kuwaudhi jews
  12. J

    Sababu za kurejesha uhusiano na Israel hazina mantiki

    Nimependa sana maelezo yako.
  13. J

    Ni Aibu kwa Wabunge wa Upinzani Kuuliza Maswali kupitia Wabunge wa CCM

    Kwa kweli hii kitu imeshachisha sasa. Nadhani hizi pande mbili zikae na kulimaliza
  14. J

    Professor Mtanzania kaajiriwa kama dereva Ubalozi wa Kenya Marekani

    Huenda ni profesa Wa kuendesha Gari kwa umakini kwa muda mrefu
Back
Top Bottom