Nitaachaje kuwa mbaguzi?

mi mbaguzi sana nabagua watu kwa muonekano wao, uwezo wao. nataka niwe na tabia ya kuona kla mtu yupo sawa hpa dunian najitahid nashindwa. nfanye nini niache ubaguz nione kla binadam ni sawa dunian hta km ana ukosefu? msada
Ubaguzi upo tu mkuu ! Hiyo ndio nature ya binadamu ! Hata unapotafuta mke utabagua... Kama amebagua Mungu (kama yupo kweli) sembuse wewe binadamu ?!
 
cku ukipata gonjwa au tatizo utajua tu km Mungu yupo au la
 
mi mbaguzi sana nabagua watu kwa muonekano wao, uwezo wao. nataka niwe na tabia ya kuona kla mtu yupo sawa hpa dunian najitahid nashindwa. nfanye nini niache ubaguz nione kla binadam ni sawa dunian hta km ana ukosefu? msada
jenga mazoea ya kusoma BIBLIA TAKATIFU hasa Injili na barua za mitume
 
Mimi mbaguzi, sana nabagua watu kwa muonekano wao, uwezo wao. Nataka niwe na tabia ya kuona kla mtu yupo sawa hapa duniani najitahidi nashindwa.

Nifanye nini niache ubaguzi nione kila binadam ni sawa duniani hata kama ana ukosefu?

Msaada
Laana za ufisadi aloufanya baba yako zmerud kwako,,,, muombe mungu sana
 
Mimi mbaguzi, sana nabagua watu kwa muonekano wao, uwezo wao. Nataka niwe na tabia ya kuona kla mtu yupo sawa hapa duniani najitahidi nashindwa.

Nifanye nini niache ubaguzi nione kila binadam ni sawa duniani hata kama ana ukosefu?

Msaada
Duh em jifkirie we ukibaguliwa unajckiaje?? Kama utajickia vzur bas endelea kubagua ila kama utajckia vbaya jtahid uache kwa njia yoyote ile
 
Back
Top Bottom