Tulia Ackson ni nani, CV yake ipoje?

Tulia Ackson ni nani, CV yake ipoje?

Wewe mwenyewe umeleta hoja kishabiki tu...unsongelea miaka kuzaliwa sio kuongelea utendaji..kama issue ni elimu kubwa ina maana tungesema Maprof pekee waende kuwa wabunge na viongozi wa serikali maeneo yote...elimu na kaarama ya uongozi ni vitu viwili tofauti...hivi Nyerere alikua Prof? Mbona alikua PM na miaka 39 kwasababu alikua na karama...acha ushabiki wa ajabu

Angalia CV ya huyo dada yote nimeyaandika hapo amekuwa dean (associate) wa Sheria UDSM, akateuliwa kwenye kutayarisha Katiba, Naibu Mwanasheria Mkuu, Mbunge na leo ni Naibu Spika wa Bunge la JMTZ!
 
Japo kuna chembe ya ukweli ndani lakini ...
Elimu pekee haimfanyi mtu kuwa kiongozi mzuri, kiongozi lazima awe na yafuatayo, hekima, busara na maarifa. Dada huyu ana maarifa tu hekima wala busara hana.
Hekima na busara ni vipawa toka kwa Mungu, na mara nyingi mtu yeyote alopitia mambo mengi hekima yake na busara huongezeka.
Naamini nimeeleweka ...
 
Nilichokigundua ni kwamba hizi kelele zote dhidi ya Naibu Spika wetu Tulia (PhD) hazina uhusiano wowote ule na kazi yake kama Naibu Spika bali ni mafanikio yake, hilo ndiyo tatizo kubwa, na niseme ukweli kabisa hili siyo kwa chadema/ukawa tu hata kwa wale watu wa kawaida kabisa na wasio na vyama wengi wana wivu dhidi huyu dada!

Kwa maana nimeongea na watu mbalimbali na wengi wao husema kwamba ni mdogo sana, sasa hupima jinsi wao walivyosota kwa miaka kibao wakisaga lami kwanza kuja tu kupata masters na wengine miaka tena kupata PhD halafu wamesota kazini mpaka walipofikia karibia umri wa kustaafu ndiyo labda anafikia cheo kikubwa, lkn dada Tulia(PhD) amezaliwa mwaka 1976 amesoma mfululizo Bsc-Msc-PhD, mwaka 2009 akawa Dean (associate) wa Sheria hapo UDSM, mwaka 2014 akateuliwa na raisi wa JMTZ kwenye uundwaji wa Katiba ya JMTZ, akateuliwa kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu, baadaye akateuliwa kuwa Mbunge na Raisi wa V wa JMTZ na mwishowe kuwa Naibu Spika wa Bunge la JMTZ!

Sasa huyo ni dada aliyezaliwa mwaka 1976 na kufikia hapo alipofika leo hii na hii ni kwa merit tu, kwa mafanikio kama haya, kwa nini asipate maadui? Watu kama Tundu, Mbowe,Msigwa, Mbatia &Co. wameshaarchive nini academically? Kwa nini wasimchukie? Wote tunakumbuka Shuleni wale wanafunzi vipanga yaani wenye akili walikuwa wanachukiwa na wanafunzi wengine hasa wale wavivu na v.ilaza!

Na hapo ndipo shida kubwa ilipo na ndiyo maana unaona chuki walionayo ni binafsi na wameilekezea kwa dada Tulia Mwansasu(PhD) na siyo Bunge linaloongozwa na CCM, kwani ukweli ni kwamba hata kama Spika Ndugai au Mwenyekiti yoyote yule wa Bunge akiongoza Bunge leo hii bado kwa chadema/ukawa hakuna kitakachobadilika kwa maana CCM ndiyo wengi Bungeni na hili tumeliona vipindi vyote vya Bunge kuanzia akina Sita, mama Makinda ingawaje wote hawa walitukanwa na chadema lkn kulikuwa hakuna chuki binafsi kama anazopewa dada Tulia!

Hivyo naweza kusema Dada Tulia Mwansasu(PhD) ni victim of her own success, kama wasemavyo Wazungu na kikubwa hapo ni wivu tu watu wanajilinganisha naye wanashindwa kuonisha lkn wanasahau kwamba Dunia ya leo haiendeshwi na Umri tena bali intelligence kama una Intelligence kama ya Msigwa au Mbowe unategemea ufike wapi Dunia ya leo? Mambo ya kubabaisha sijui kudanganya watu wewe mchungaji yameisha!

Tuwe wakweli na nafsi zetu watu kama Mbowe ukiondoa fedha ambazo ni za urithi hivyo hapo jitihada binafsi ni 0, au Lisu, Msigwa, Sugu wanaweza kupata kazi wapi Dunia hii mbali na yale ya utapeli wanayaoyafanya hapa Tanzania?
Dada Tulia Mwansasu(PhD) ana uwezo kutuma CV yake na kupata kazi popote pale Dunia hii, na hapo ndipo shida ilipo, wanaona wivu sema wanashindwa kusema tu na kuliattack hilo la umri mdogo wa dada Tulia wanaamua kumuattack lkn indirectly!
Ni suala la uelewa zaidi. Kwa uelewa wako hiyo umeiona sawa
 
Dr. Tulia ni hazina kwa taifa hili. Iwapo ata-maintain utendaji huu na kuzidi, sina shaka kabisa namwona rais wa kwanza mwanamama katika Dr. Tulia Ackson. Jamani hamlioni hili? Kodoeni macho mtaona ninachokiona. Si mchezo huyu mwanamama.
 
Unaota wewe....polee sana ..Sasa mbona anakubari kutumikaa..anashindwa kutuma Hata Hekima ya form 2...I will be the last person to believe if that PHD is not Fakelo!!!!!
 
Tatizo la vijana wa lumumba kila kitu kiwe kibaya ama kizuri wao ni ndio tu Muda mwingine angalieni maslai mapana ya Tanzania Mkuu B hii nchi niyakwetu wote kila mmoja wetu anapenda kuona inchi inasonga mbele jaribu kuwa mkweli kuhusu TULIA kapwaya Sana ktk bunge hili.
 
Wivu tu, hakuna kingine!
 
Mpaka anakubari hoja mbovu kama za 'nilivuliwa kofiaa nimevurugwaa amenitamani'anachekacheka....tu haaa haaa haaaa..PHD zingineeee Banaaa.
 
Unaota wewe....polee sana ..Sasa mbona anakubari kutumikaa..anashindwa kutuma Hata Hekima ya form 2...I will be the last person to believe if that PHD is not Fakelo!!!!!
Unashindwa kumuelewa maana kiwango chako cha uelewa ni kidogo. Tuliyumbishwa sana Na akina Lissu na wabunge wengine uchwala wanasheria . sasa kaja mama yao mwalimu wao wa sheria wote wamenywea hakuna cha Lissu au Mudee , wamebakia kuziba midomo Na makaratasi. Wanao mpinga Tulia , mtwambie kavunja sheria gani anapowavurumisha wabunge wa Ukawa wasio Na maadili ?
 
UKAWA walizoea malezi ya babu na bibi wakawa wanavunja taratibu na kanuni za bunge wakiambiwa eti wakiwa watu wazima wataacha. Sasa wamekutana na baba na mama wanachapwa pale pale wanapokosea. Wanaona wanaonewa na kutamani kurudi kwa babu na bibi. Wazoee tu na wajifunze kufuata taratibu na kanuni walizoweka wabunge wenyewe.
 
Nilichokigundua ni kwamba hizi kelele zote dhidi ya Naibu Spika wetu Tulia (PhD) hazina uhusiano wowote ule na kazi yake kama Naibu Spika bali ni mafanikio yake, hilo ndiyo tatizo kubwa, na niseme ukweli kabisa hili siyo kwa chadema/ukawa tu hata kwa wale watu wa kawaida kabisa na wasio na vyama wengi wana wivu dhidi huyu dada!

Kwa maana nimeongea na watu mbalimbali na wengi wao husema kwamba ni mdogo sana, sasa hupima jinsi wao walivyosota kwa miaka kibao wakisaga lami kwanza kuja tu kupata masters na wengine miaka tena kupata PhD halafu wamesota kazini mpaka walipofikia karibia umri wa kustaafu ndiyo labda anafikia cheo kikubwa, lkn dada Tulia(PhD) amezaliwa mwaka 1976 amesoma mfululizo Bsc-Msc-PhD, mwaka 2009 akawa Dean (associate) wa Sheria hapo UDSM, mwaka 2014 akateuliwa na raisi wa JMTZ kwenye uundwaji wa Katiba ya JMTZ, akateuliwa kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu, baadaye akateuliwa kuwa Mbunge na Raisi wa V wa JMTZ na mwishowe kuwa Naibu Spika wa Bunge la JMTZ!

Sasa huyo ni dada aliyezaliwa mwaka 1976 na kufikia hapo alipofika leo hii na hii ni kwa merit tu, kwa mafanikio kama haya, kwa nini asipate maadui? Watu kama Tundu, Mbowe,Msigwa, Mbatia &Co. wameshaarchive nini academically? Kwa nini wasimchukie? Wote tunakumbuka Shuleni wale wanafunzi vipanga yaani wenye akili walikuwa wanachukiwa na wanafunzi wengine hasa wale wavivu na v.ilaza!

Na hapo ndipo shida kubwa ilipo na ndiyo maana unaona chuki walionayo ni binafsi na wameilekezea kwa dada Tulia Mwansasu(PhD) na siyo Bunge linaloongozwa na CCM, kwani ukweli ni kwamba hata kama Spika Ndugai au Mwenyekiti yoyote yule wa Bunge akiongoza Bunge leo hii bado kwa chadema/ukawa hakuna kitakachobadilika kwa maana CCM ndiyo wengi Bungeni na hili tumeliona vipindi vyote vya Bunge kuanzia akina Sita, mama Makinda ingawaje wote hawa walitukanwa na chadema lkn kulikuwa hakuna chuki binafsi kama anazopewa dada Tulia!

Hivyo naweza kusema Dada Tulia Mwansasu(PhD) ni victim of her own success, kama wasemavyo Wazungu na kikubwa hapo ni wivu tu watu wanajilinganisha naye wanashindwa kuonisha lkn wanasahau kwamba Dunia ya leo haiendeshwi na Umri tena bali intelligence kama una Intelligence kama ya Msigwa au Mbowe unategemea ufike wapi Dunia ya leo? Mambo ya kubabaisha sijui kudanganya watu wewe mchungaji yameisha!

Tuwe wakweli na nafsi zetu watu kama Mbowe ukiondoa fedha ambazo ni za urithi hivyo hapo jitihada binafsi ni 0, au Lisu, Msigwa, Sugu wanaweza kupata kazi wapi Dunia hii mbali na yale ya utapeli wanayaoyafanya hapa Tanzania?
Dada Tulia Mwansasu(PhD) ana uwezo kutuma CV yake na kupata kazi popote pale Dunia hii, na hapo ndipo shida ilipo, wanaona wivu sema wanashindwa kusema tu na kuliattack hilo mafanikio makubwa kwenye umri mdogo wa dada Tulia wanaamua kumuattack lkn indirectly!
Wivuuu...???? mmh haya!!!!!!
 
Wengine sisi mafanikio ni kuwa na Afya njema.kutenda haki.kufanya kila tunachopenda.kumjua Mungu basi when you talk about money you talk about number

Ni wapi nimeoanisha mafanikio ya Dada Tulia na money? Mimi nimeongelea kile kilicho wazi hayo mambo ya kuwa ni mcha Mungu au siyo mcha Mungu, afya yake hayanihusu na hayapaswi kunihusu kwani ni masuala binafsi!
 
Nilichokigundua ni kwamba hizi kelele zote dhidi ya Naibu Spika wetu Tulia (PhD) hazina uhusiano wowote ule na kazi yake kama Naibu Spika bali ni mafanikio yake, hilo ndiyo tatizo kubwa, na niseme ukweli kabisa hili siyo kwa chadema/ukawa tu hata kwa wale watu wa kawaida kabisa na wasio na vyama wengi wana wivu dhidi huyu dada!

Kwa maana nimeongea na watu mbalimbali na wengi wao husema kwamba ni mdogo sana, sasa hupima jinsi wao walivyosota kwa miaka kibao wakisaga lami kwanza kuja tu kupata masters na wengine miaka tena kupata PhD halafu wamesota kazini mpaka walipofikia karibia umri wa kustaafu ndiyo labda anafikia cheo kikubwa, lkn dada Tulia(PhD) amezaliwa mwaka 1976 amesoma mfululizo Bsc-Msc-PhD, mwaka 2009 akawa Dean (associate) wa Sheria hapo UDSM, mwaka 2014 akateuliwa na raisi wa JMTZ kwenye uundwaji wa Katiba ya JMTZ, akateuliwa kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu, baadaye akateuliwa kuwa Mbunge na Raisi wa V wa JMTZ na mwishowe kuwa Naibu Spika wa Bunge la JMTZ!

Sasa huyo ni dada aliyezaliwa mwaka 1976 na kufikia hapo alipofika leo hii na hii ni kwa merit tu, kwa mafanikio kama haya, kwa nini asipate maadui? Watu kama Tundu, Mbowe,Msigwa, Mbatia &Co. wameshaarchive nini academically? Kwa nini wasimchukie? Wote tunakumbuka Shuleni wale wanafunzi vipanga yaani wenye akili walikuwa wanachukiwa na wanafunzi wengine hasa wale wavivu na v.ilaza!

Na hapo ndipo shida kubwa ilipo na ndiyo maana unaona chuki walionayo ni binafsi na wameilekezea kwa dada Tulia Mwansasu(PhD) na siyo Bunge linaloongozwa na CCM, kwani ukweli ni kwamba hata kama Spika Ndugai au Mwenyekiti yoyote yule wa Bunge akiongoza Bunge leo hii bado kwa chadema/ukawa hakuna kitakachobadilika kwa maana CCM ndiyo wengi Bungeni na hili tumeliona vipindi vyote vya Bunge kuanzia akina Sita, mama Makinda ingawaje wote hawa walitukanwa na chadema lkn kulikuwa hakuna chuki binafsi kama anazopewa dada Tulia!

Hivyo naweza kusema Dada Tulia Mwansasu(PhD) ni victim of her own success, kama wasemavyo Wazungu na kikubwa hapo ni wivu tu watu wanajilinganisha naye wanashindwa kuonisha lkn wanasahau kwamba Dunia ya leo haiendeshwi na Umri tena bali intelligence kama una Intelligence kama ya Msigwa au Mbowe unategemea ufike wapi Dunia ya leo? Mambo ya kubabaisha sijui kudanganya watu wewe mchungaji yameisha!

Tuwe wakweli na nafsi zetu watu kama Mbowe ukiondoa fedha ambazo ni za urithi hivyo hapo jitihada binafsi ni 0, au Lisu, Msigwa, Sugu wanaweza kupata kazi wapi Dunia hii mbali na yale ya utapeli wanayaoyafanya hapa Tanzania?
Dada Tulia Mwansasu(PhD) ana uwezo kutuma CV yake na kupata kazi popote pale Dunia hii, na hapo ndipo shida ilipo, wanaona wivu sema wanashindwa kusema tu na kuliattack hilo mafanikio makubwa kwenye umri mdogo wa dada Tulia wanaamua kumuattack lkn indirectly!
Tundu lisu ni Habari nyingine. PHD OF tulia does not corresponding the way of handling issue, TULIA MBELE YA LISU HANA LOLOTE
 
Ukawa hasa chadema ,wanajifanya kumtukana sana MTU Fulani kumbe ndani ya mioyo yao wanamtaka na kumpenda sana , pindi akiomba kuhamia kwao wanampokea na kumsafisha .

Dr Tulia wanyooshe ,tulishawashitukia janja yao.

Watanzania tupo nyuma yako our beloved Dr Tulia.
 
Tundu lisu ni Habari nyingine. PHD OF tulia does not corresponding the way of handling issue, TULIA MBELE YA LISU HANA LOLOTE

Hayo ni maneno yako na kila mtu anaweza kusema atakacho kwani unaweza hata kuwa ni mtoto wake yeye Tundu ambapo ni kawaida kwa mtoto kumtetea baba yake, lakini mwisho siku Dunia hutambua mfaniko ya mtu kwa vithibitisho, hivyo weka hapa archievements za kintelectual za Tundu Lisu na siyo blah blah za majukwaani kwani hizo hata Sugu au Msigwa wanaweza!
 
Kashindwa kuendesha bunge period.Bora mama makinda.
 
Back
Top Bottom