Sherehe za saba saba zihairishwe; Pesa ipelekwe kwenye Madawati

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Sherehe ya Saba Saba ni kama dili kwa baadhi ya watu. Mwaka huu tusherekee kimya ; Kwa pesa zake kupelekwa kwenye madawati.

Kama sherehe za uhuru , Ukimwi n.k
 
Mkuu, nijuavyo sabasaba kwa ujumla wake ziingizia serikali mapato kwa mabanda yanakodishwa, viingilio milangoni, kutengeneza mzunguko wa pesa ambao bila hizo sherehe usingekuwepo hivyo serikali nayo kupata kodi na mengine mengi...
 
Sherehe ya Saba Saba ni kama dili kwa baadhi ya watu. Mwaka huu tusherekee kimya ; Kwa pesa zake kupelekwa kwenye madawati.

Kama sherehe za uhuru , Ukimwi n.k
unaelewa serikali inapata mapato kiasi gani kwa hii ishu au ulikuwa unazungusha mikono ukajikuta umeandika pumba
 
Basi kusiwe na sherehe kabisa hapa nchini.

Madawati yanatakiwa kuwa mpango endelevu kwenye bajeti
 
haa haa unataka kagame asije bongo?
tunabana matumizi; delegate yake ,ulinzi n.k ; fedha za walipa kodi maskini;
kama umiseta na umishumta imehahirishwa; hii inashindikana nn, bado 2017,2018,2018
kuna haraka gani ya yy kuja Bongo ;

Kupitia M23 Vijana wetu wamekufa kwa ufadhili wa Rwanda.

sitashangaa UKAWA wakiandamana
 
Kuhairisha ndio kitu gani hicho. Nyie watoto wa siku hizi. Kingereza hamjui hata kiswahili pia hamjui.
 
Tanzania bado karne hii tunapiga domo khsu madawati......ina maana asilimia kubwa ya wanafunzi walikuwa wanakaa chini!
 
Sherehe ya Saba Saba ni kama dili kwa baadhi ya watu. Mwaka huu tusherekee kimya ; Kwa pesa zake kupelekwa kwenye madawati.

Kama sherehe za uhuru , Ukimwi n.k
Nani alikwambia saba saba hugharamiwa na serikali...?
 
Kinachoumiza ni pale baadhi ya watendaji wakijabudhiwa hizi pesa ili kufanikisha hili la madawati wanaona ni nafasi ya kupiga hela. Ule mtindo Wa asimilimia kumi. Wapo wanaotefeneza madawati kwa shs 50000 kwa kutumia soft wood, na wengine kujitahidi kuyageuza rangi yaonekane km ni hard wood. Nchi hii hatubadiliki KBS. Nadhani hili la madawati maafisa elimu na wahandisi Wa wilaya lazima wawajibike kwani kama yakitokea haya bs tunarudishana kule kule. Hawa ni watu wasiojali taabu za wa watoto wa wenzao kwani wao hawawasomeshi huko.

Naomba serikali haya madawati yawe na viwango aka siyo kila mwaka tutaendelea kufanya kitu kimoja
 
Back
Top Bottom