Rais Magufuli na mfumo Kristo

Rais Magufuli na mfumo Kristo

Status
Not open for further replies.
hivi kule ng'ambo ya pili hakuna wakristu mbonA hatusikii malalamiko kama haya.... hapa hatuhitaji wa kutuongozea ibada
 
Haya majamaaa kama mabwege,mmebebwa miaka kumi yote tumenyamaza,,sasa hvi mmesahaulika kwenye teuzi mbili tatu mnasema mnaonewa,,,,sijui ni watu wa namna nyie
Dogo una ushahidi kuwa waislam walibebwa kwa miaka 10? Unaweza kutuwekea uwiano wa wateule wa JK kwa dini zao hapa ili tujuwe ukweli?
 
Kigezo kikuu sio dini ikiwa hivyo hatutafika wenye imani tofauti na izi wasemeje
 
Awe muislamu au mkristu bado kwangu ni mtanzania tuuu....

Alafu mbona huu mfumo Kristu unaoongelewa sijawahi hata kuuhisi kwenye makuzi yangu...maana hakuna MTU aliyefelishwa kwa ajili ya dini yake na wala kupendelewa kwa ajili hiyo

Hii nchi isingekalika kama dini zote zingekuwa na mtazamo kama wako...mfano mzuri yule mtoto wa mbagala aliyenusurika kifo kwa ajili ya kukojolea Quran lakini makanisa yalipochomwa hali ilikuwa ni tulivu

Mwisho wa siku ,nchi yetu haiongozwi kwa Quran ama biblia
 
So km waislam hamjasoma na hamna weledi wawafanyeje? Mkiambiwa msome hamtak mnaishia madrasa hlf mnkazana kuleta lawama..peleken watoto wenu shule muone kama kuna raia yyt ataejarib kuwadidimiza
 
Nilishawahi kuandika maoni yangu kama hayo pale Mh Rais alipoteua mawaziri makatibu wakuu na wakuu wa mikoa lkn badala yake nikaishia kupewa Ban humu JF...

Kinachofanywa na magufuli ni upendeleo wa waz waz na tukikumbuka enz ya Jk japo aliwapa sana hawa jamaa nafas stil aliitwa ni mdini...sasa tunamtaka ajue kwamba bado ana safar ndefuu...na kama anataka kuturudisha huko sisi tumeshazoea...

Nchi Hii ni yetu soote na ajaribu kukumbuka kauli zake kipind cha kampen
Wachungaji na mashekhe wanakazi zao sasa nchi inaendeshwa na katiba sio dini sisi watanzania tunataka maendeleo waarabu na wazungu walituletea hz dini na kutupa majina kama ally au moses lakin yeye mzungu hakubali jina mangi
 
Chanzo cha hii habari ni gazeti la kidini. Hivi awamu iliopita gazeti hili liliwahi kuhoji JK kujaza upande fulani?
Wakati wa Utawala wa JK kulikuwa na gazeti linaitwa " NYAKATI" silisikii kabisa siku hizi
 
Wakati tukisoma madrasa wenzetu walikuwa wanapata elimu dunia.... ni makosa yetu wenyewe tusijifiche kwenye kivuli cha mchicha, dini yetu haina kipaumbele kwenye maswala ya msingi hasa ya kimaendeleo! Ukishakosea msingi usitegemee nyumba kuwa imara
Hii Singo ishachuja tafuteni nyingine.
 
Udini utatumaliza nyie acheni hizo!! Kila wakati malalamiko, wakati wa JK wakiristu walilalamika, unakiri pia wakati wa Mwinyi wakiristu walilalamika, hukumtaja Mkapa labda mambo yalikuwa sawa kwa sawa kote. Ndugu zangu hii sio Nigeria ambapo Rais ktk teuzi zake analinganisha dini zote mbili. Tuchape kazi, tusomeshe watoto wetu alafu tuache figisufigisu za Udini vitasambaratisha taifa letu.
 
Nilitaka nipite bila kuandika kitu but nimesikitika kuona bado tunawaza hiv
 
Wakati wa Utawala wa JK kulikuwa na gazeti linaitwa " NYAKATI" silisikii kabisa siku hizi
Jamani tunataka maendeleo. Nchi hii watu tunaendeshwa sana na mihemko ya kidini. Alipokuwa JK tulisema tuliyoyasema. Mkapa, Msingi, na Nyerere pia. Kwenye list ya wakuu wa wilaya katoa vigezo alivyotumia. Tuwaache wafanye kazi. Udini ni shimo la kifo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom