Ufaransa nao wadai EU referendum

Ufaransa nao wadai EU referendum

Na ndiyo maana wamejitowa, maana wameona migrants wamezidi,sababu kubwa ya kujitoa ni chuki zao kwa wahamiaji.maana sasa wataweza kukontrol boader zao bila shinikizo la EU
Sidhani kama tatizo ni wakimbizi. Tatizo ni masuala ya Sera za pamoja zinaiumiza zaidi uingereza.ukitafakari zaidi utagundua waingereza hawanufaiki na umoja wa ulaya kama raiaa wengine wa ulaya wanavyofaidika na UK hasa Hawa wanaotoka mataifa ya Balkans east Europe
 
Migrants kutoka eastern europe, na issue ya kugawana wakimbizi kwa shinikizo la Brussels ndo major factor ilowafanya waingereza wa vote OUT from EU
 
Kama hujuwi kitu ni bora ukanyamaza.hivi unafahamu uingereza ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kupokea wakimbizi?
Uingereza insongoza kupokea wakimbizi kivipi mkuu??? Maana Mimi katika kifuatilia kwangu kidogo...naona kama ujerumani ndio waliopokea/wanaopokea wakimbizi wengi...au nieleweshe zaidi mkuu wangu!!!
 
Kama hujuwi kitu ni bora ukanyamaza.hivi unafahamu uingereza ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kupokea wakimbizi?

Mkuu, unazo takwimu za hivi karibuni kuthibitisha madai yako?

Unaweza kuwa sahihi kama unamaanisha UK kupokea wakimbizi tangia mwaka 2000, ingawa idadi yako haitakuwa sawa na hawa wa sasa.

Ukumbuke misafara ya wakimbizi kwenda Ujerumani na wale wanaotumia mitumbwi kwenda Italy.

Germany ilitaka kufikia mwishoni mwa 2016 iwe imepokea wakimbizi 800,000 na Italy imekuwa ikipokea wastani wa wakimbizi au wahamiaji 100,000 kwa mwaka tangu 2014 hio ni wastani wa wahamiaji 5000 kwa siku.

Yes, bandari za Trapani mjini Sicilly, Pozallo nchini Italy kabla ya kukubaliwa na kuanza kuelekea miji maarufu kama wa Venice, Mineo, Catania na bila shaka makao makuu Rome.

map.jpg

Idadi hiyo ni ndogo kulinganisha na wale wanaokwenda UK kupitia Calais.
 
Uingereza insongoza kupokea wakimbizi kivipi mkuu??? Maana Mimi katika kifuatilia kwangu kidogo...naona kama ujerumani ndio waliopokea/wanaopokea wakimbizi wengi...au nieleweshe zaidi mkuu wangu!!!
Ujerumani wameanza kupokea miaka si chini ya miwili baada ya machafuko middle east.lakini UK ameanza kupokea wakimbizi zaidi ya miaka 30 ilopita wengi toka India, Pakistan na Africa.
 
Ninachokiona hapa ni kuundwa kwa Coalition of the willing ndani ya Ulaya.

Kuna nchi kama Norway na Uingereza na Mfaransa zitaungana na kuunda umoja wao.

Germany atabaki na kina Ugiriki na Uturuki yake.
na Merkel anavyowapenda bailouts kwa mgiriki kila wakati, bora abaki nao tu
Ingawa Turkey haimo
 
Ujerumani wameanza kupokea miaka si chini ya miwili baada ya machafuko middle east.lakini UK ameanza kupokea wakimbizi zaidi ya miaka 30 ilopita wengi toka India, Pakistan na Africa.

Hawa unaowasema ni mchanganyiko wa wakimbizi kidogo na wahamiaji na waliingia katika nyakati tofauti na sio kwa mkupuo.

Lengo la wakimbizi na wahamiaji wengi ni kwenda UK kwa kupitia Ujerumani na Ufaransa kwani huko tayari wana Connection.

UK hawataki hio kitu na ndio sababu kubwa ya kupiga kura ya LEAVE.

Ila Ujerumani walitoa sababu ya kukubali wakimbizi hadi 800,000 kwa mwaka wa 2016, kwamba wana idadi kubwa ya wazee hivyo wanahitaji productive force kwenye uzalishaji wa GDP.

UK wanachagua ni wakimbizi gani wa kuwachukua na ndio maana wameweka centre kule Syria (kwenye kambi ya wakimbizi) ili kudahili kabisa wale wanaowataka kuja UK ambapo mwaka huu walisema wangeanza na 20,000.

Ujerumani na Italy baada ya kupokea wakimbizi na wahamiaji baadae kwenye vikao vyao vyao huko Brussels wakaanza kuwashawishi UK wachukue wakimbizi na wahamiaji Zaidi ya hao (20,000) ambao UK ilijipangia kabisa.

UK sasa hivi hawataki wakimbizi zaidi tena khasa lengo lao ni kuzuia wale wahamiaji wa kutoka barani Afrika,
 
Imeripotiwa na radio DW mchana huu.Je ni nini impact ya msambaratiko huu wa eu kwa Tanzania

Tanzania itabidi iboreshe zaidi utaratibu wake wa kuuza bidhaa nchini Uingereza na katika nchi za EU.

Hivyo inawezekana kukawa na masoko mawili kwa UK na EU.
 
Yeah ndio wanaongoza and this is main reason why wananchi wamepga Kura ya kuikataa EU coz sera ya EU nikila mwanachama kupokea wakmbizi so kwa viongozi wa uingereza hawakuwa na namna ilibidi kukubaliana na sera za EU bt wananchi walikuwa wanaumia
 
Hello Tzar Ivan the terrible are you there? Kumbe you don't need a 500 Megatone Bomb kuwatia akili baadhi ya viongozi wa Continental Europe wanao buruzwa ovyo na Uncle SAM kufanya mazoezi ya kivita wakiwazuga kwamba Russians are coming - madai ambayo hayana ukweli wowote zaidi ya kutafuta kisingizio cha kufuja tax payers' money badala ya kufanya biashara na China, Urusi, Thailand, India na Iran EU wanapoteza muda chasing shadows.

Juzi hapa train kutoka China iliwasili Warsaw Poland imesheeni ma container! Ndiyo hivyo tena silk road is no longer a pipe dream ina take shape faster than you think, shinikizo la Uncle SAM la kutaka ku undermine silk road limeshindikana, kibaya zaidi kuondoka kwa Uingereza kwenye Ushirika wa Ulaya umeshitua sana Obama's Administration wanajua njama zao za kutaka kuwawekea a monkey wrentch Wachina na Warusi wasishirikiane kibiashara na wenzao wa Ulaya linaelekea kishidwa vibaya sana.

Wakumbuke kwamba bara la Ulaya si backyard ya Mayankee, Eurasian countries zitashirikiana kiuchumi na kibiashara kwa manufaa ya raia wake bila ya kujali Amerika inasema nini/maoni gani.
mbaya zaidi nchi za east europe zitapoteza imani kwa Eu na matajiri wa magharibi. mfano machafuko ya Ukraine chanzo chake ni wananchi kutaka ushirikiano na EU huku rais akiegemea Urusi. sasa watu wanavyojitoa wananchi wengi wa east europe wataanza kufikiria marambilimbili kuhusu ushirikiano wao na EU na nchi za magharibi. wataona bora zimwi likujualo (Russia).
 
Duh JF kuna wataalam wa mambo ya Dunia Au tuseme walio bobeya katika ushirikiano wa kimataifa.Mpaka Raha
 
mbaya zaidi nchi za east europe zitapoteza imani kwa Eu na matajiri wa magharibi. mfano machafuko ya Ukraine chanzo chake ni wananchi kutaka ushirikiano na EU huku rais akiegemea Urusi. sasa watu wanavyojitoa wananchi wengi wa east europe wataanza kufikiria marambilimbili kuhusu ushirikiano wao na EU na nchi za magharibi. wataona bora zimwi likujualo (Russia).
Kabisa. Na hawa wa Ulaya mashariki kwa maana ya Ukraine, Romania na vinchi vingine maskini vya Ulaya mashariki ndivýo hasa vimefaidika sana na muungano huu, kwa mfano manual laborers wengi wa Ulaya kama kufagia, kusanbaza magazeti na nyingine za mguno huo zinafanywa na watu wengi wa mataifa hayo. Kuondoka kwa UK ni pigo sana kwa hizo nchi.
 
Kitu kinachoanza kujitokeza ata huko uingereza baada ya kuamua hakuna upande uliokuwa umejipanga pande zote mbili azijui what next wanajitoa vipi, wana negotiate nini na EU maana sio kwamba walikuwa awafaidiki, apparently kuendelea kushirikiana kiuchumi akuondoi tatizo la msingi kwenye free movement of people (swala sio wakimbizi wala, african migrants who can be controlled; issue ni uraia wa EU).

Matokeo yake vyama vikuu vya siasa vimevurugika labour wana mpango wa kulazimisha kiongozi wao atoke kwa nguvu wanamlaumu kwa campaign hafifu iliyosababisha wanachama wao kutopiga kura ya inn. Conservative nao awajielewi hao brexit kumbe awana plan yoyote ya jinsi ushirikiano muhimu utakavyo fanya kazi kwenye ku negotiate na EU, waziri mkuu ataki kuitisha mchakato rasmi wa kupeleka maombi ya kujitoa ambapo inabidi awataarifu EU UK inataka ku-excercie 'article 50 of lisbon treaty' ndio procedure rasmi zianze. David Cameron anataka hayo mambo yafanywe na waziri mkuu ajaye, kama atokuwa kutoka Brexit side of the campaign chama bado kitakuwa na mzozo mwingine especially way forward with EU.

Its chaos kuna baadhi ya wabunge washaanza kudai referendum is not legal binding sio lazima wajitoe, kwasasa kutokana na mazingira ya kwamba ndio kwanza watu wameamua hili swala linawekwa kapuni. Lakini upepo ukitulia wanataka bunge ndio liamue sio kura ya maoni hiko ni kinyume na demokrasi, hili swala apparently bado linahitaji mjadala mrefu sana bungeni alikadhalika EU nao wanataka hii shughuli iishe waendelee.

Nadhani nchi zingine watatumia mazingira ya UK kama case study before following suit its a complicated divorce apparently the marriage wasnt all bad rather some aspects were annoying to those filing for devorce.
 
Ukifanya tofauti na matokeo ya sasa utakuwa umetoka ndani ya demokrasia na iyo ndio tatizo kubwa.inamaana ukitaka muungano uendelee kuwepo wakati wananchi awataki itakuwa umepuuza matakwa ya wananchi
 
Back
Top Bottom