Recent content by jmaroa

  1. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Citizen tv ya Kenya inaonyesha kampeni za Lowassa tu

    Mbona star tv inaonyesha clips za makufuli (ccm) hamsemi? Acha unafki.
  2. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu hawazeeki mapema?

    Walimu wanapokuwa kzni hazi yao inasaidia sana kupunguza stress sana kwa mfano kila mara mwalimu utamkuta akiongea na wanafunz hivyo kupunguza mawazo mengi strees free proffesion na mi nataka nikasomee ualimu.
  3. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Kwanini sitapiga kura

    We baki nyumbn wakuchagulie kiongozi
  4. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu atangaza nia

    Wambieni akaombe kwa tunu lissu.
  5. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu atangaza nia

    Wema sepetu anacho jaribu kukifanya kisiasa kinaitwa "muscle flexing" anajaribu aone kama anaweza
  6. jmaroa

    JamiiForums Tanzania chuo cha mifugo peramio

    Na mi ningependa kujiunga na chuo chochote cha mifugo hivi huwa wanahitaji qualifications gani?
  7. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Majaji wa TMT 2015 hawana sifa za nafasi hizo

    niukweli kabisa wale majaji wooote ni vilaza hamunamo kitu yan bogasssi kabisa yambafuu
  8. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Mnyika jimbo la Ubungo umeshalikosa

    Kuanzia lini ukawa masemaji wa wanaubungo????
  9. jmaroa

    JamiiForums Tanzania APC / UPS kutumika na T.V

    Mi binafsi sijui!!!!
  10. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Moto wa ACT-Wazalendo kama umepungua vile

    Hawaja pewa capitation na chama cha green guard
  11. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Moto wa ACT-Wazalendo kama umepungua vile

    CCM bado hawajawalipa chao.
  12. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukaidi: Sasa Kuchukua Vijana wa National Service kuimarisha Red Brigade!

    Brother mbona ccm inao (green guards) au chadema hawafai kuwa nao??? Hata act wanzishe wa kwao
  13. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Startimes Decoder

    Ving'amuzi vingine ni bure kabisa mimi hata ukinipa bure hicho cha startimes siwezi kukichukua.nlikuwa nacho nikauza kwa sababu ni outdated vile ni analog kabisa...bure sana.
  14. jmaroa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maana nyingine ya TBT

    Wote vilaza hamna anaye jua ki-English humu. Nyambavu.
  15. jmaroa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya wanawake kukojoa kwenye makopo au ndoo wakati wa usiku nini msingi wake kama si uchafu?

    Nina njirani yangu mimi. yeye na mke wake na watoto wanakojoa kwenye kopo la chooni hilo hilo.
Back
Top Bottom