Msaada: Maana nyingine ya TBT

Msaada: Maana nyingine ya TBT

Kwanza niwatakie heri ya pasaka na jumapili njema ya kwanza ya mwezi wa 4.

Wandugu mimi nimekuwa najiuliza bila kupata jibu nimekuwa nikiingia kwenye mitandao mbali mbali hasa instagram unakuta mtu kaweka picha yake na chini kaandika TBT......

Mwanzo kwaharaka haraka mm nikafikilia labda wanamaanisha wapo tabata ila baadae nikagundua sio kweli kuna maana nyingine je huwa wanamaanisha nini??

Au hilo neno linamaana gani au nikifupisho cha nini hasa.

TBT ni kifupi ChA tabatA.
 
wengine wana andika LMAO!! una jua maana yake?
 
Wote vilaza hamna anaye jua ki-English humu. Nyambavu.
 
Alhamis na Jumanne ni siku za ..................ni
 
Kwanza niwatakie heri ya pasaka na jumapili njema ya kwanza ya mwezi wa 4.

Wandugu mimi nimekuwa najiuliza bila kupata jibu nimekuwa nikiingia kwenye mitandao mbali mbali hasa instagram unakuta mtu kaweka picha yake na chini kaandika TBT......

Mwanzo kwaharaka haraka mm nikafikilia labda wanamaanisha wapo tabata ila baadae nikagundua sio kweli kuna maana nyingine je huwa wanamaanisha nini??

Au hilo neno linamaana gani au nikifupisho cha nini hasa.

= nikafikiria
 
Throw Back Thursday.

Ni siku maalum ya kupost picha zako za zamani.
Siku ya kupost hizo picha ni Thursday.

Hili tukio hufanyika instagram.

uchawi uchawi tu kwa nini iwe alhamis na sio jumatano wala jumamosi
 
Back
Top Bottom