Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,312
Ndo tatizo la kuwa msukule hujui kufikiri!,
Huo utiifu akaupeleke kwa makasisi but This time atavuna alichopanda
Nilimchagua siyo kwasababu ya dini yake ( mimi ni Muislam ).
MAJIII MNYIKA MAJIIII
Ndo ashaikosa hivo kura yangu!
kamuombe magembe maji sio mnyika bana,mbona mnajifiatua akili nyie vijana !!!
nani alikuambia mnyika atawaletra maji wewe ,Kama ilikuwa ni ahafi yake kwenye,campaign sio mbaya lakini si kawatetea na kuwaombea maji Mara kibao tu bungeni.
serikali yako ndio imegoma kuwaletea maji ,mnyika kashapiga kelele za kutosha lako wapi,serikali sio sikivu,ni dhaifu na katili,badala mletewe maji ubungo serikali inapeleka barabara msonga .poor you.