Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,050
- 1,359
Elewa mkuu, sijasema sitaki dola iundwe... ila sioni tofauti yoyote kati ya wagombea wa kuongoza dola hiyo. that means yoyote atakaye shinda mambo yatakua ni haya haya... police walewale utaratibu uleule sheria zilezile bajet zilezile jeshi lilelile viwanda na sera mbalimbali zitakua zilezile.
why should i vote?
Nimegundua kichwani haujui kitu kabisa kuundwa dola hakuwezi kufanyika bila kuchagua viongizi watakaounda serikali!!!
hivi ni kwwli hujui hata maana ya serikali(government) ni kitu gani??!!
pole sana mkuu