Wema Sepetu atangaza nia

Wema Sepetu atangaza nia

Sio kila mtu maarufu basi anafaa kuwa kiongozi, maybe aongoze kundi la wasanii lakini sio wananchi watanzania
 
Washauri wake nadhani wanapatikana sana Instagram.



Hatari sana, tafadhali serikali jamani mkamateni huyu binti na kumfunga.....atawakilisha nini? Si hiyo tu, atatunga sheria gani.....hivi serikali hamuoni haibu?
 
Usanii mwingine bwana. Yaani kachoka kuchezewa kwa sasa anataka kuwakilisha watu wa Singida? Ebu fikiria mtu kama Wema akuwakilishe Bungeni unategemea nini? Mtu kichwani hana kitu na shule kafeli, leo hii anataka kututungia sheria, jamani are we really serious kweli? Lazima sheria ipitishwe kwa watu (failures) kama hawa kutopewa hata nafasi ya kugombea ubunge. Fikiria aje apate ubunge then naibu waziri wa habari na utamaduni na hana elimu yeyote zaidi ya kujuwa kuongea broken english, si tutaonekana jamii ya hajabu kweli?

teh teh teh teh kumbe ule ung'eng'e anaojitapa nao ni Broken???

acha upoyoyo kuna wabunge failures kibao huko bungeni elimu siyo kigezo wewe! kwanza hao mnaowaita wasomi ndo wametufikisha hapa!
 
Masupastaa ni wengi kwa nn asemwe yeye?lazima kuna tatizo na hii nchi inavyokwenda mwezi wa kumi huyu mjengoni

usiposemwa hujakamilika mkuu..hiyo nayo pia ni nyotaa aisee..huezi niambia hicho kigezo ndo unachotumia kum-disqualfy unakosea saaana..kila mtu ana mapungufu yake..!!
 
Acheni hizo jamani..akili inayohitajika kuwa mbunge kupitia CCM ni uwezo wa kumsikiliza Spika anaposema WANAFIKI (tofautisha na "wanaoafiki") wote semeni ndio na yeye kusema "NDIYOOOO"...kingine kinachohitajika ni uwezo wa kuzomea point kuntu za wapinzani...la mwisho ni uwezo wa kusign posho...She can do all those, right???

sioni tofauti kubwa kati yake na wabunge wa CCM!!!! hujui kuwa utawala huu wa awamu hii umedhihirisha kuwa kama Shemeji anaweza kuwa rais hata wewe unaweza?



Mtu mwingine anayehitajika kushitakiwa kwa kuharibu nchi ni Kikwete. How do you allow a lose ball ran for a member of parliament seat? Wema akipita wabunge watashindwa kufanya kazi kwa kumgombania Wema na kushindana kushika ama kuonyeshana chupi zake bungeni. We need to be serious jamani. Ebu fikiria, leo hii Wema awe anatutungia sheria mtu hana elimu yeyote zaidi ya kujuwa intermediate english.
 
Wema sepetu anacho jaribu kukifanya kisiasa kinaitwa "muscle flexing" anajaribu aone kama anaweza
 
acha upoyoyo kuna wabunge failures kibao huko bungeni elimu siyo kigezo wewe! kwanza hao mnaowaita wasomi ndo wametufikisha hapa!

kwahiyo unataka kuongozwa na huyo malaya kila siku anabadilisha wanaume-au wewe ni shoga unatafuta mtu wa kwenda Bungen kukupigia kura
 
kwahiyo unataka kuongozwa na huyo malaya kila siku anabadilisha wanaume-au wewe ni shoga unatafuta mtu wa kwenda Bungen kukupigia kura

kabisa mkuu!kwa maslahi ya taifa na heshima ya bunge,kamati kuu ccm singida mkimpitisha huyu dada mungu atawahukumu!Mbunge wa hivi kweli;;
 

Attachments

  • 1434618148758.jpg
    1434618148758.jpg
    14.6 KB · Views: 162
washatuona watanzania nkurukumwao wanazidi kugombea goli
 
Back
Top Bottom