Recent content by jjozee

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Airtel wamegoma kunirudishia pesa zangu

    Airtell ni shida kwenye swala la pesa aisee...nawaogopa balaa nipo radhi mtu anayetaka kunitumia kumpa namba ingine sio airtell
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Validity ya hii Taarifa?

    Kumbuka manji ndani ya mji[emoji2957]isikose amekuja kushuhudia huo uuzaji wa hilo jengo!ana element fln fln na Hilo jengo!time Will tell
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kama Barua yenu kwa Spika Ndugai imeitwa 'Kipeperushi' mkienda kukutana na Rais Samia angalieni tu asiwaite 'Wapuuzi' pia

    Sijui km lipumba alikumbuka kufanya hayo yote wkt anawafurumusha wale wabunge wake,l love u my beautiful Tz[emoji3575]
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu CVT Sport

    Wameongea vyema wachangiaji wote pia wanajua magari,hpo shughuli ingearibiwa ingekua mada ya siasa,dooooh wachangiaji utumbo wangejaa balaa ila huku sio kwao[emoji85]
  5. J

    JamiiForums Tanzania Amechaguliwa kwenda Chuo, napata wakati mgumu

    Amia dodoma uwe karibu na kiburudisho chako!kweli hali ni mby sn,woga nao ni akili
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume kuna ukweli hapa?

    Not lips! Mdomo, size ya mdomo ndo size ya mashine
  7. J

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Tusipojirekebisha tutatafuta mchawi bila mafanikio

    Unaandika sna na ww!daah c utunge kitabu tuu uyajumuishe haya yote ulionayo...daah!janja janjaa snaa bwn
  8. J

    JamiiForums Tanzania TRA waifungia Sahara Media(Star TV, RFA) kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 4.5

    Jeshi la mtu moko 1...linasaga Na kukoboa,kanyaga twende,halicheki Na nyani coz linajua litavuna mabua,baba tunaitaji kunyooka...piga kaziii!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Jamani Trafiki Wanakera sana!

    Tusahau hii kitu kuja kufanyiwa marekebisho yyt!yaani haka ka jamuhuri ni shidaa!tutakoma!d.s.m mpk mbeya ni km 1000...alaf utembee Na 50km!??cjui dunia gn tunayo kwenda!trafik ni maadui bara barani!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanamke tajiri anataka niache chuo tufanye biashara

    Somaa wee!then ajira utaipata 2019-20!nakushauri usipishane Na helaa!mute chuo kapige hela!wtu wana elimu Na bado bu10 inawaza shida
  11. J

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke anapenda mapenzi kuliko kawaida mpaka nakuwa mtoro kazini

    nachekaaa tuu leo!hiz mada
  12. J

    JamiiForums Tanzania Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!

    tulikosa kuandaa mashindano ya piki piki ya africa kisa matuta!jamaa waliokuja kukagua bara bara zetu walijiuliza hizi ni bara bara au matuta ya viazi!wakaondoka zao
  13. J

    JamiiForums Tanzania Team ALTEEZA

    alaf kwenye rally hawaonekani!twendeni arusha,nairobi trh25...tujue nyie ni crzy car kweli
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Lowassa vs Mrema, nani zaidi kwenye siasa za upinzani?

    kuna vtu vya kutaniana..sio iv...ovaaaaa
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Shein: Mafuta na gesi ni mali ya Zanzibar na si Muungano

    ni km mke nyumbani...au mapenzi ya upande1...so inabidi uoneshe mapenzi dhati jinsi unabompenda..
Back
Top Bottom