abuu garcia
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 227
- 406
Hakuna barabara ya kurndeshea hiyo speed duniani 250 yenyewe sio rahisi sembuse 500
Angalia kipindi cha top gear utaona izo barabara za kuendesha speed 500
Na iyo unayo sema ata 250 ni ngumu kuendesha umekosea
Mimi mwenyewe kuna wakati naendesha mpaka 300 kph