Hivi kuna Validity ya hii Taarifa?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Mwenye Kujua hili Jambo Likoje, Nadhani Hilo Jengo Limejengwa Kwenye Kiwanja Cha UWT na Serikali Ina share pia.

Airtel Africa PLC has on Wednesday, June 2, said that it has agreed to sell Airtel Tanzania's tower portfolio to a joint venture owned by a subsidiary of SBA Communications Corp. and Paradigm Infrastructure Ltd. for $175 million.

Airtel Tanzania's tower portfolio comprises around 1,400 towers, which form part of the group's wireless telecommunications infrastructure network.

As per the agreement, the group's subsidiary Airtel Tanzania Plc will continue to develop, maintain and operate its equipment on the towers under a separate lease arrangement with the buyer companies

Source: The Citizen
 
Wajuvi wanajua sana kucheza na hizi giant hotpots na sie wazembe tunadhan registering a company to DSE is the oy soln.
Tumebaki na brand name without facilities

I.e Helios towers etc
 
Mbona tenda haikutangazwa ili na Mimi ninunue?
Na Kama wameuza minara,inamana sisi wenye line zao hatutumii minara tena?
Au wameuza jengo?
 
Umenikumbusha Mfugale Towers kule Geita.
Kwa watu wa simu tower Ni mnara ndio maana wamesema 1,400 towers.
Hilo jengo haliwezi kua na dhamani ya $175 m
Kwani serikali si ina hisa Air tell??
 
Kumbuka manji ndani ya mjiisikose amekuja kushuhudia huo uuzaji wa hilo jengo!ana element fln fln na Hilo jengo!time Will tell
 
Ni minara ya simu ndio inapewa makampuni kuyasimamia matengenezo yake.

Mfano Vodacom na Tigo minara yake ipo chini ya Helios Towers Tanzania (HTT).
 
Back
Top Bottom