Team ALTEEZA

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,539
5,917
Tumechoka na kelele za gari zenu. Mmefunga mufflers kubwa basi shida tupu hapa mtaani.
Kwanza tradtionally Alteeza siyo perfect car for street racing. Vialteeza vyenyewe vimechoka na vinaacha unga wa quickfill barabarani.
I used to be underground street racer back in the 1990s in the streets of east Los Angeles. Back then gari Za street racing zilikuwa Mustang, Acura integra, Eclipse, Talon, Charger, Celica. Camaro etc
Mnatupigia kelele zisizo na msingi na mmekuwa kero kubwa hasa on weekends.
Kama mnataka racing nendeni njia ya Msata.
Kamanda Sirro uko wapi?
 
acha wivu mkuu na sisi ndio wakati wetu,unahisije kama wewe ndio unakubalika kwa aina ya maisha unayoishi,au na wewe imetokea kaskazini?maana hii nchi mnataka mbakie wenyewe...
 
maelezo yako,who r u hadi useme unapigiwa kelele?hamia msituni kama vipi..
Kwahiyo unabidi uwe mtu fulani ndo ufike vigezo vya kulalamika kua unapigiwa kelele? Jamaa katoa kero zake na anahaki hiyo. Yani wewe ndo ilibidi uulizwe who are you,kupinga kero ya mwenzako? Halafu unatoa suggestion za kitoto eti kaishi porini,seriously?
 
Tumechoka na kelele za gari zenu. Mmefunga mufflers kubwa basi shida tupu hapa mtaani.
Kwanza tradtionally Alteeza siyo perfect car for street racing. Vialteeza vyenyewe vimechoka na vinaacha unga wa quickfill barabarani.
I used to be underground street racer back in the 1990s in the streets of east Los Angeles. Back then gari Za street racing zilikuwa Mustang, Acura integra, Eclipse, Talon, Charger, Celica. Camaro etc
Mnatupigia kelele zisizo na msingi na mmekuwa kero kubwa hasa on weekends.
Kama mnataka racing nendeni njia ya Msata.
Kamanda Sirro uko wapi?
Kuna wale wa Subaru niliwaanzishia thread humu ikafikia wahusika wakanyooshwa. Kwa miezi kadhaa walitulia sasa hivi kwa mbali wanasikika. Usiwe na shaka watanyooshwa.
 
Back
Top Bottom