Recent content by JituParaTupu

  1. J

    JamiiForums Tanzania House girl wangu anataka tufanye mapenzi

    Nadhani huyo HG hana siku za mapumziko hivyo haonani na vijana ambao wangetatua tatizo la nyegeze. Angalia uwezekano wa huyo binti kupata siku ya kupumzika kama wafanyakazi kwenye sekta zingine.
  2. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mikanjuni Transformer. Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  3. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
  4. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna ratiba inayotutaarifu wateja wenu juu ya kukatika katika maeneo mbali mbali. Ratiba hiyo inaonyesha umeme utakatwa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Cha kushangaza leo mmekata kuanzia saa 12:14 asubuhi kinyume na ratiba mliyoisambaza. Mbona mnatusababishia usumbufu usiowalazima...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje unapogundua mtoto uliyemlea kwa zaidi ya miaka nane sio wako?

    Hiyo ilikuwa zamani enzi za mababu zetu....Siku hizi vinazaa haramu.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Pikipiki inauzwa

    Kweli kabisa!!!
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Sio kigumu kiivyo. Katika kusaidiana na kuelimishana.....nenda kwenye GOOGLE TRANSLATE...weka English na Swahili, kopi maneno ya kiingereza ukaya-paste huko na itakutafsiria kwa kiswahili....
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anasema hivi kuhusu misaada

    Surely you meant standing on our feet...I suppose.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mahitaji/malipo shule (sekondari) kwa mwaka wa masomo unaoanzia januari 2015

    Wadau, nauliza hivi bado kuna malipo kwa ajili ya watoto wetu wanaosoma shule za sekondari? Mtoto wangu ameniletea barua kutoka shule ikinitaka kulipia mahitaji kama nilivyoorodhesha hapa chini:- 1. Michango ta Walimu (PTT).............. Sh. 26,000/= 2. Ada ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania JF-App KUSHINDWA KUFUNGUKA

    Habari jamvini? Natumia simu aina ya Samsung Galaxy Grand. Kuanzia juzi JF App haifunguki kabisa. Nimejaribu mara kadhaa kui-uninstall na kui-install tena lakini imeshindikana. Naomba maelekezo ili app hii ya JF ifanye kazi kama awali. Natanguliza shukrani.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Fainali za Epic Bongo Star Search (EBSS) kupitia TBC: Mshindi ni Emmanuel Msuya

    Watanzania wengi tunapenda kuongea kiingereza mbele za watu ili tu kuonesha eti u-msomi.... Nimemsikia...nadhani ni Madame akitangaza mshindi wa mwaka huu kwa kutaja "TWENTY-TWELVE" badala ya "Twenty-Thirteen"....hii inadhihirisha kuwa lugha hii si yetu ila tunalazimisha. Nashauri tutumie...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wito wa Maandamano: Unyama wa Kapuya na Sheria

    Nadhani umri wa binti ulikuwa mdogo sana (14 years old) kujitambua na pia umasikini na uyatima wa binti ulichangia kuhadaika.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Raha ya maisha ukiwa bachela na kero baada ya kuoa

    Mie nimerudia kwenye raha hizo za ukapera na nafurahia kwa kweli nikilinganisha na matatizo niliyoyapata nikiwa ndoani. Ndoa yataka uvumilivu mkubwa hasa pale kama uliyemchagua kuwa mwenza hafai.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi damu ilivyomwagika Kenya

    Hata mimi nimeshangaa kwa TV stations zetu Tanzania kjtofanya any coverage ya tukio hili ambalo limetokea kwa jirani zetu. Mungu wasaidie Kenya katika shida hii.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ukatili: Mtoto wa miaka 7 achomwa mikono na mama yake mzazi kisa mayai ya kuku...!!

    Hivi kwa nini nae asiunguzwe mikono kama alivhomfanyia huho mtoyo? Aunguzwe jli na yeye aonje machungu anahoyapata huho mtoto. Hivi kwa nini wananchi wanakuwa wepesi sana kuwacboma moto vibaka lakini wanashindwa kuwaadhibu watu katili kama huyu mama?..Na sitashangaa huyu akiachwa huru.
Back
Top Bottom