Technologiest
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,728
- 4,058
Hakika mkuuChombo hii, Dar - Dodoma unatoboa
Ni sahihi,ila huwezi kufananisha baiskeli na pikipiki.Bei hiyo unapata kinglion 2.
Si mchezo ngoma mpaka ina rejeta.Ni sahihi,ila huwezi kufananisha baiskeli na pikipiki.
Hahahaha,umewaza Kama mm yaani.Bei hiyo unapata kinglion 2.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni sahihi,ila huwezi kufananisha baiskeli na pikipiki.
Kuingiza pesa siyo kwa njia ya bodaboda tu mkuu,naona umekaririshwa vibaya.Hahahaha,umewaza Kama mm yaani.
Kuna haja gani kulinunua dubwasha kwa milioni 3 ambalo haliingizi hela.
ha ha ha ha ha ha duuhNi sahihi,ila huwezi kufananisha baiskeli na pikipiki.
Bei hiyo unapata kinglion 2.
Kuingiza pesa siyo kwa njia ya bodaboda tu mkuu,naona umekaririshwa vibaya.
Kweli kabisa!!!Kuingiza pesa siyo kwa njia ya bodaboda tu mkuu,naona umekaririshwa vibaya.
Mawazo ya kimasikini kabisa haya.Hahahaha,umewaza Kama mm yaani.
Kuna haja gani kulinunua dubwasha kwa milioni 3 ambalo haliingizi hela.
Huyo mwenye hyo simu ni limbukeni si ajabu hata kutumia smartphone vzr hajui anapiga na kupokea simu tu eti kisa aonekane matawi.Mawazo ya kimasikini kabisa haya.
Wewe ndoto yako ni kununua boda boda uwe unakula route za buku buku, bila hata kuvaa helmet.
Kww taarifa yako kuna mtu ana simu ya mkononi, hizo king lion zako mbili na nusu.
Kwani wewe unadhani MO anatumia TECNO??Huyo mwenye hyo simu ni limbukeni si ajabu hata kutumia smartphone vzr hajui anapiga na kupokea simu tu eti kisa aonekane matawi.
Ingekuwa pesa inachezewa hvyo Basi mo dewji angetumia simu ya mil 50.
Ww hujui kwamba maskini ndio huwa wanahangaika kuishi maisha ya kuigiza.Kwani wewe unadhani MO anatumia TECNO??
Hakuna ulimbukeni katika matumizi, ulimbukeni uko katika umasikini peke yake.
😂 😂 😂 😂 😂Ni sahihi,ila huwezi kufananisha baiskeli na pikipiki.