Recent content by jipu bichi

  1. jipu bichi

    Wana JF, mwenye moyo wa kunikopesha laki nne nimepata dharura

    Kuna jamaa yangu anaweza kukusaidia nimeongea naye akasema niende nimuone ana kwa ana. Tuma nauri nimwendee elf kumi naenda na kurudi.
  2. jipu bichi

    Ukiwa huna hela unakuwa kama mjinga mjinga hivi hata sauti inabadilika

    Hkiwa na Pesa heshima inakuja yenyewe. Utaitwa mzee na kuachiwa pa kukaa. Kama viti vimeisha wazee wa umri wa baba yako au zaidi watakupisha.
  3. jipu bichi

    Serikali yatangaza bei ya kuuzia pamba 2018/2019

    Kwa nini sisi wakulima hatuna mtetezi? Hao wanaokaa kupanga bei Nina mashaka kama wanajua pamba inavyotutesa.
  4. jipu bichi

    Talaka hutokea msimu wa joto jingi

    Kama 34% hutokea wakati wa joto, Je asilimia inayobaki hutokea wakati /majira gani? Fafanua ili tuelewe kama kweli wakati wa joto taraka ziko kiwango cha juu au cha chini. Utafiti wako haujakamilika
  5. jipu bichi

    Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    *kwa simu haiwezekani* uongo mtupu, acha nikalale zangu.
  6. jipu bichi

    Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    [Nakomaa mpaka kieleweke] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  7. jipu bichi

    Nifanye mbinu gani ili nitokelezee kama Dr shika

    Napita, nikirudi nitakushauri [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. jipu bichi

    Huyu Samaki Anaitwaje Wakuu. Thanks.

    Usalama wangu ni kutochangia chochote hapa, sitaki niokotwe
  9. jipu bichi

    Je, wajua? - Special Thread

    Uko vizuri Mkuu..!
  10. jipu bichi

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Hahaaa hapa mtaan kwetu pia siwaoni. Yawezekana kweli.
  11. jipu bichi

    Simu zimewageuza watu wengi kuwa Mazombi...

    Waje wataalam wa mionzi watupatie ushauri ili tuishi kwa tahadhari. Zinatusev sana smartphone ila kama ni hatari watujuze.
Back
Top Bottom