jipu bichi
Member
- Jan 24, 2018
- 30
- 22
Usalama wangu ni kutochangia chochote hapa, sitaki niokotwe
Nikukute ofisiniAnaitwa samaki Anko sizonje.
Nikukute ofisini
Safi kiongozi, habari ya majukumu? Kumekuchwa tena.niambie mkuu
true mkuu mapambano yaendeleeSafi kiongozi, habari ya majukumu? Kumekuchwa tena.
Hakika. Mungu ni mwema.true mkuu mapambano yaendelee
Samaki John
Anapatikana maji yepi?Hamna mkuu.
Najua kuna tasi, changu, perege sjui perege, wapo kambale wana ndevu wale ila huyu mpaka sasa bado sjajua jina lake mkuu.
Msaada please.
Anaitwa maq-fool..
Utapimwa jojoa wewe shauri yako,Yupo pale ferry karibu na soko la samaki mkuu.