Simu zimewageuza watu wengi kuwa Mazombi...

Simu zimewageuza watu wengi kuwa Mazombi...

Wazee hata mi nitakuwa mojawapo wa Mazombi muda wote ni jf YouTube na instar hata SAA Tisa usiku naamka kusoma nini kimetupiwa
 
Nusu nigonge gari la Mbele yangu kwa kujifanya najua kuchati na kuendesha kwa pamoja....hizo simu zinaua
 
Waje wataalam wa mionzi watupatie ushauri ili tuishi kwa tahadhari. Zinatusev sana smartphone ila kama ni hatari watujuze.
 
Wakuu, matumizi ya smart phones wanawafanya watumiaji wake kuwa mazombi...yaani unakuta mtu ameconcentrate kwenye simu kuliko kitu kingine.

Mtu anatumia simu hadi kutokusikia lolote.
Kwasasa ukiingia sehemu yenye watu wengi, angalia tu uone ni kwa kiasi gani hizi simu zimewabadilisha watu, anatizama simu na akili yote ikiwa hapo. Huu ni uzombi full


K
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Ni kweli, lakini hata magazeti yalipoingia watu waliji-behave hivyo hivyo. Era ya television nayo ni hivyo hivyo. It is just a matter of a new Technology!
 
Huenda ukawa ni mzee wewe, zamani kizugio cha watu kilikua radio ndogo, walkman,(haina sehem ya kuangalia video)unachomeka Eaphone na kusikiliza cd yako, hayo ya zamani,ww unataka watu wazugie nini kuvuta muda?
Siku hizi hakuna vile vijiwe vya kupiga soga mtaani na kuonekana wezi, saivi watu wanapiga soga kwa kutumia simu zao.... Simu imewekewa vitu vingi vikiwa na maana, sio kupiga na kupigiwa tu ka mzee
 
picachu haka kagame kakijinga sana....wazungu kamewatoa akili sana[emoji23][emoji28][emoji23] sijui kamepotelea wapi kama dr shika
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
 
Sasa mm nadhani nimefika hata mbaya zaidi pamoja ya kuwa addict wa simu pia ni addict wa JF huwezi amini nikifumbua macho tu asubuhi lzm niingie hapa,najiuliza nifanye je nipunguze km sio kuacha!
Si mchezo
 
Wakuu, matumizi ya smart phones wanawafanya watumiaji wake kuwa mazombi...yaani unakuta mtu ameconcentrate kwenye simu kuliko kitu kingine.

Mtu anatumia simu hadi kutokusikia lolote.
Kwasasa ukiingia sehemu yenye watu wengi, angalia tu uone ni kwa kiasi gani hizi simu zimewabadilisha watu, anatizama simu na akili yote ikiwa hapo. Huu ni uzombi full


K
Unakumbuka usemi was Albert Einstein alioisema 1954?
 
Back
Top Bottom