Kama alivyosahaulika Mzee Ngosha mchoraji wa Nembo ya Taifa (Ngao ya Bibi na Bwana)
Ndivyo alivyosahaulika Dr. Vedasto Kyaruzu mtunzi wa wimbo wa kizalendo wa Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasheria kama maofisa wa mahkama muhimili wa kusikiliza, kutenda na kusimamia haki, wanao wajubu mkubwa kuisaidia jamii yetu kupinga utawala wa kibabe usiojali misingi ya utawala bora na kuzika demokrasia.
Tatizo wengi waoga wamejificha kwenye makoti ya suti nyeusi wanazovaa. Wasimwachie T...
Umekua utamaduni wao, kila nyakati za mchana (saa 6 -9) mabasi yanapita yakiwa wazi hasa vituo vya msimbazi A na B kariakoo.
Wahusika waje kwa ufafanuzi
Dogo anataka elfu 52,000/= akapate kazi ya uangalizi wa marudio ya uchaguzi mkuu zanzibar.
Amepokea hii e-mail binafsi sijaelewa ufafanuzi pls???
Mr / Ms
On behalf of Representative Organization, I humbly appreciate your intent to join our team in our upcoming project in Zanzibar as Election...
Mwenye gari namba T351 DDV Subaru Impreza rangi nyeusi amemgonga raia mmoja mwanaume na katimua mbio usiku huu saa 5:22
Alichofanya sio uungwana kwani angesimama na kutoa japo huduma ya kwanza.
Ni kweli Makonda kama DC wa kinondoni ana timu ya wanasheria ofisini inayomsaidia kutatua kero za migogoro ya Ardh kwa jamii. Alipotangaza kuwasaidia wakazi wa wilaya yke kwa mwezi mmoja alijikuta anapokea wateja takribani 1,500 kwa mwezi. Kutokana na wingi wa watu wenye kero na migogoro pamoja...
Inasikitisha sana kuwa na taifa lenye vijana wasiojitambua na kujithamin. Mavaz ya ajabu yamekua tatizo sana kwa vijana wenye mtazamo wa kusaka utofauti wa muonekano kwenye jamii yetu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.