Habari wanajamiiforums,
Naomba msaada kwa anaelewa procedure ya kusajili kampuni anipe idea, natakiwa kuanzia wapi na ninatakiwa niwe na vigezo gani stahili? Kampuni ninayotaka kufungua ni ya kuuza spares za generators, maintenance pamoja installation ya electrical works in general...
Kwani hivi mbona hatujiulizi kampuni ya Mantra Tanzania Limited ambayo ndiyo ilianza exploration kule namtumbo inaachia ngazi na kumilikisha mikoba yote kwa kampuni kutoka Russia??? Wamepata nini muda wote waliofanya hiyo exploration mpaka sasa? Sijasikia kamati ya bunge ya nishati na madini...
Habari wana JF,
Ni kama mara mbili hivi kukutwa na tatizo la usafiri ninapotumia mabasi ya scandinavia especially location ya mbeya. Cha kwanza gharama ya usafiri kwao ni kubwa kulinganisha na hali ya mabasi yenyewe, hilo si neno! jambo lenyewe ni kwamba, hata wakijuwa kuwa kwa siku ya safari...
Na wengi wao wakishaanza kuchuja utasikia ooh, siku hizi hunipendi! ooh mbona hatuendi tena outings kama mwanzo! Kwa kawaida msichana unaemkuta sehemu za starehe au matumizi peke yake ujue keshamuumiza men mwenzako huko atokapo sasa wewe unanyemelea left - overs! ukitaka msichana zama uswazi...
Amewaalika watu tofauti tofauti nadhani hata wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani ameshaandaa futari ikulu na baadhi ya watu walihudhuria, nadhani tujitahidi kuangalia mazuri yake mengi na siyo mabaya yake machache.
Aisee jamaa yangu mambo ya kidunia tuyaache duniani, tusijaribu kuchanganya mambo hapa. Hakuna muislamu aliyeishi kwenye uislam thabiti akaoa dini nyingine bila mwanamama muhusika kusilimu aliko kuwa muislam. Kwa hiyo hao dada kama ni kweli wameolewa na waislamu basi nao ni waislam ispokuwa wewe...
Isije ikawa ni nguvu ya kudhoofishana uchaguzi ujao, maana kesi siku hizi ni mwaka au miaka na mwisho wa yote inaonekana hamna hatia kwa alioshitakiwa wakati uchaguzi unakuwa umepita. Kati yao ni nani ana mpango wa kuwania uongozi uchaguzi huu? Yetu macho!!!!!
Mshikaji miaka ya kubambikiwa mimba zana zilikuwa ishu, waambie wajaribu sasa kama hawajajiweka kwenye nafasi mbaya katika jamii kwa kukwepa virusi na kuangukia mimba, Tehe tehe tehe teheee!!!!!!!
Pretty,
Kumbuka kuwa wanawake si watu!!!!, Ila ni wasaidizi. Huu msemo unawafanya walio wengi kutotambua majukumu yao kwa nyumba endapo mwanaume yupo. Umefika muda kwa wanawake kubeba baadhi ya majukumu ndani ya nyumba ili kuleta uwiano sawa kama gender inavyozungumziwa.
LAZYDOGY,
Utakuta msanii akitoa album kama yeye basi ziara zinaandaliwa kila pembe lakini mwisho wa show zote income kwa redio ni almost 70% na msanii anaambulia 30% ya mapato. Nadhani umenielewa maana ya kukomalia mapato ya album from the beginning!!!
I doubt hata hii migawanyiko ya wasanii kwenye makundi yao inatokana na mashinikizo ya haya maredio pamoja na wadhamini wachache wenye uchu na mapato yatokanayo na kazi za hawa wasanii kwani wakiwa kama group mapato ya hawa wanyonyaji yanakuwa machache, kwa akili yangu ya kijinga na sijui kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.