Help me please, msaada na ushauri! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Help me please, msaada na ushauri!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mwana wa Mungu, Jul 22, 2009.

 1. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamanieee, nasema toka moyoni kabisa, sisemei kwa unafiki. kuna tatizo hapa. DADA ZANGU WAWILI wameolewa kwa waislam. wote wanaishi hapa hapa dar, na wamezaa nao watoto zaidi ya watatu kila mtu. nawapenda sana watoto wale, shemeji zangu na dada zangu tunashirikiana vizuri tu.

  HIVI MAHAKAMA YA KADHI, ikiwagusa dadazangu hawa, mimi nitakuwa sijaathirika? hasa kwenye masuala ya mirathi pale watakapodhurumiwa kwa mali kugawiwa kwa watu wengine wao kupata moja ya nane tu, pale atakapokuwa kama mtumwa akijua wakati wowote anaweza kupewa talaka. wanavumilia sana, kwasababu mmoja ana wanawake anataka kuoa wengine. mwingine wamemweka kama jini, anavaa nguo nyeusi kitintedi, halafu hakika hatoki nje. muda karibia wote anakaa ndani, akikutwa nje, hadi tunaenda kusuluhisha hiyo kesi, SI WIVU HUO. akiruhusiwa kutoka nje kwenda sokoni basi anavalia tintedi. anarudi haraka na nyumba ina grill yaan inaweza hata ikiungua akaungulia humo humo. hiyo tumeikubali kwasababu ni nini yao.

  tatizo ni kwamba, mambo yoote ya mahakama ya kadhi, dada zangu wakitendewa mimi sitaathirika niliye mkristo tena mlokole? najua kuna wengi ambao ndugu zao wameolewa kwa waislam hapa, sisi watz tunaoleana tu, tofauti na nchi zingine kama kenya.

  naomba ushauri na uelewa. NAOMBA MTU asiseme kuwa mahakama ya kadhi itahusu mirathi na ndoa tu, maana hiyo ITAKUWA SI IBADA. itakuwaje usema mahakama ya kadhi ni ibada, halafu upunguze mambo mengine ya kwenye ibada uweke machache? yaani mnatuhakikishiaje kuwa haitakuwa kufyeka mikono au......kwa wazinzi, au kupigwa mawe hadi wafe kama SOMALIA? Je, itakuwaje ibada kwa kutoa mambo mengine na kuweka machache, si changa la macho tu hilo mnataka dada zetu waumie?
   
 2. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hakuna kulazimishana katika Dini. Kama wameamua kuwa Waislam inakuuma nini?, wao ndio wanajua kilicho ndani ya Uislam, wewe inakuuma nini?.
   
 3. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ni dada zangu, damu moja na mimi, haiingii akiliku kuwa wananiuma kama wakitendewa vitendo vya unyanyasaji?

  zaidi ya yote, unajua kama mahakama hizi zitakuja, hapo ndo wanawake karibia wote wa kiislam wataikimbia hiyo dini,kwasababu wataona wanaumia bure. Dada zangu wanalazimishwa kufuga majini ati majini mazuri...hahaha. na ninamwomba Mungu wataokoka tu. kwasababu sioni kama wana usalama wowote kwenye hiyo dini ambayo haina uvumilivu.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mwana wa Mungu,
  Wameolewa kwa hiari yao na bila kushinikizwa na mtu yeyote, nadhani unakubaliana na mimi kwa hilo.
  Pia najua kwamba hadi sasa hao Madada zako walishakuwa waislamu, upende usipende!, ni ngumu kumesa, lakini ndo ukweli.
  Ujio wa Mahakama ya kadhi ni sehemu ndogo tu katika vipengele viiiingi vya ibaada ya Kiislamu.
  Kwa sasa huna control nao, ni wazi kabisa kwamba wataathirika sawia na mambo yooote yatakayojiri huko, na hatimaye wewe bila shaka utafuatia kwa kuathirika.

  Lakini hapo ujue huwezi kufanya kitu kwa sababu dada zako wamewapenda hao watu kwa roho zao.

  You can do almost nothing to stop that by now!
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  "Ninyi mna dini yenu na wao wana dini yao".

  MWM ninachokiona kwako ni chuki na uelewa mdogo kuhusu mahakama ya kadhi. Kama dada zako waliolewa kwa ridhaa yao katika misingi ya kiislamu, basi mahakama hiyo inawahusu dada zako na si wewe. Ila kama wameolewa katika misingi iliyo nje ya uislamu (kama bomani n.k) basi mahakama ya kadhi haiwahusu.

  Halafu unapoongelea suala la mirathi, wakati dada zako nao ni binaadamu, je mnampango wa kuwa-eliminate hao shemeji zako ili muwarithi?. Maana kama wewe ni mwana wa mungu basi utakuwa unajua kuwa ni mungu pekee ndiye anajua ni nani wa kutangulia kufa kati ya mume na mke na si wewe. Hivyo suala la mirathi pia halikuhusu wewe kwa sasa kwani huna uhakika kama ni dada zako au shemeji zako ndiyo watatangulia kuiaga dunia, labda utuhakikishie kwenye hili kuwa ni lazima shemeji zako watangulie kufariki.

  "Bwana asifiwe"
   
 6. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Shida yake huyu jamaa haikuwa kuzungumzia Mahakama ya Kadhi, anakoelekea kunajulikana. Ndio maana sasa anahama toka Mahakama ya Kadhi na kuja kutueleza kuhusu kufuga Majini. Hebu tupe shule Dada zako wanafugaje hayo Majini?.

  Sasa kama Mahakama ya Kadhi itasababisha wanawake karibia wote wa kiislam kuhama dini yao. hiyo si bora wenu Wakristo. Mngeikubali ili mpate wafuasi watakaohama toka Uislam. Sasa sijui nchi zenye hizo mahakama wangapi walishahama.

  Hoja nyingine kazi kweli kweli kuzifikiria.
   
 7. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  point ni kwamba, wao wakifa, walizaliwa kwenye dini yao, mimi haitaniuma saana kama vile itakavyoniuma kwa dada zangu. hilo liko wazi. haina maana nawaombea wafe ili dada zangu wapate mali mzee..hahaha. ila wakiwanyanyasa sana dada zangu, nitawashitaki kwa Mungu wangu. hakuna ubishi kwamba, pamoja na kwamba wao ndo waliamua kwa nafsi zao kuwa waislam, lakini bado wako connected na mimi, tulizaliwa pamoja, na ni dada zangu. just chukulia kama wale dada zako wewe unavyowajali, na jinsi mama yako anavyowafeel.
   
 8. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nafikiri hauijui dini yako. kuna wanawake wangapi wa kiislam wa ulaya mashariki,na middle east ambao wanalazimishwa hata kujilipua, wakiambiwa wataenda kwa mungu, wakitishiwa kuwa wakikataa watasingiziwa kuwa wamezini na kupigwa mawe hadi wafe? HAUJUI HILI?
   
 9. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0

  Mod Hii iende kule kunakostahili. Naona hapa si mahala pake. Imeshakosa mwelekeo wa kisiasa. Ama kweli JF ni jamvi kubwa LOL! kila aina ya viumbe tumo humu.
   
 10. m

  majuva Senior Member

  #10
  Jul 22, 2009
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebu tuondolee hizi chokochoko zako, kama dada zako kwenye uislam walifuata nini? kwani walilazimishwa, waliingia uislam kwa mapungufu waliyoyaona huko, na uislam hatuna kulazimishana wana uhuru wakurudi popote watakapo hawajafungwa kamba,

  suala la sheria na hukumu lake hulijui na hutolijua si imani yako, ww una dini yako nasi na dini yettuu, jadili yaliyopo kwako kabla ya jirani yako, JADILI KWANZA ILIKUWAJE WAKAHAMA HUKO WALIPOKUWA na urekebishe hayo ili waweze kurudi kwa kuona ubaya wa uislam, tuondolee hizi hadithi zako za abunuwasi humu

   
 11. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ukirusha jiwe mtu akalia mamaaa,ujue kuna mtu limempata. samahani kama nimewaudhi kwa kuuliza swali wajameni.
   
 12. A

  August JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2009
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mkristo, na sioni shida yoyote kwa Dada zako kuolewa na muislamu na kama watazikwa kiislamu, na mirathi yao ni ya kiislamu, kwenye kila kitu duniani kina pande mbili utamu na uchungu. kama vile ukienda kulima utachoka, lakini kueisha vuna utapumzika na kula jasho lake. Kumbuka kuna wengine waislamu, lakini wanaolewa na wakristo, je hawa unawateteaje?
  Naona sio vizuri kukweza Dini ya Mwenzio kama ambavyo wewe hupendi yako ukashifiwe.
  Kuna wachungaji wameshikwa na viungo vya Alibino ? je huo si ushirikina au kufuga Majini in Proxy?
  Pia kumbuka katika Dini zote kuna watu wazuri na wabaya.
   
 13. C

  Calipso JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sasa si uwaambie warudi kwenye dini yako kama wewe unahisi wanaonewa,inakuwaje wewe uhisi wanaonewa lkn wao wenyewe wanahisi raha huko ktk imani ya kweli.. mambo ya mirathi hayakuhusu kwani hao kwa sasa ni waislam na si wakristo tena,kwa hiyo mahakama ya kadhi wewe haikugusi kabisa,tuachie wenyewe. akili yako ipo kweye mali tu.
   
 14. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kimsingi mpaka sasa mahakama za mwanzo ndizo zinazoendesha kesi za mirathi za ndoa za kiislamu kwahiyo hata kama mahakama ya kadhi haitaanzishwa na waume za dada zako hawajaandika wosia (will) if they will die intestate na ndoa zilikuwa za kiislamu hao dada zako hawana ujanja kwani msumeno ni uleule. Kama watakuwa wamefunga ya serikali kwa mkuu wa wilaya kesi itaendeshwa kwa mujibu wa sheria za nchi na siyo kwa kanuni za kiislamu. Hata mtu wa Mungu unavizia mali za dada zako na wajombao? Washauri mashemejizo waandike will kama unaweza.
   
 15. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bwana Calipso mtu akiuliza swali mjibu kulingana na swali alilouliza siyo kuuliza viswali ndani ya jibu. Toa ushauri na acha jazba.
   
 16. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #16
  Jul 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Nahisi ilii swala kama nilisha wahi kulisoma sehemu, ila sikmbuki wapi!

  Samahani kidogo unaweza kufafanua hapo nilipoweka rangi nyekundu? Wewe unaelewa nini kuhusu mirathi kwenye Uislam?

  Pili je wewe kama wewe uta-athirika kwa namna gani juu ya hizo mirathi unazo zipanga kuwa zitatokea kwa dada zako kufiwa na waume zao?
   
 17. j

  jimba Member

  #17
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Aisee jamaa yangu mambo ya kidunia tuyaache duniani, tusijaribu kuchanganya mambo hapa. Hakuna muislamu aliyeishi kwenye uislam thabiti akaoa dini nyingine bila mwanamama muhusika kusilimu aliko kuwa muislam. Kwa hiyo hao dada kama ni kweli wameolewa na waislamu basi nao ni waislam ispokuwa wewe uliebaki ndio mkristo. Na sheria zote za dini ya kiislam hao kina dada wanatakiwa wazifuate bara'bara. Mix Grill katika uislam haipo labda wawe vitoweo tu na hao pia kidini hawatambuliki kama wake na waume bali ni wazinifu tu.
   
 18. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2009
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wewe kama huna kasoro kichwani basi unamatatizo makubwa sana ya kisaikolojia....kwanza mpaka hao dada zako wameolewa huko ina maana wote mmeridhia...halafu acha kutukana dini za watu...wewe kaa na dini yako na wao waache na dini zao...jambo usilolijua achana nalo...ninachoweza kuona hapa ni upotoshaji tuuuuuu
   
 19. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #19
  Jul 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Nadhani mpaka hapo atakuwa amejielewa.
   
 20. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  this is a case of pilipili usioila ya kuwashiani??? huyu ana machungu mengi tu kwani dada zake wameingia kwenye dini ya haki! badala ya kujali ya kesho akhera anaangalia za urithi! duh kweli tumepotea wengi tu!
   
Loading...