Polesana ila maradhi yoyote usichukulie mzaha madhara yake yanaweza kuwa makubwa nakushauri kamuone specilist wa magonjwa ya ngozi sijui uko wapi lakini kama ungekuwa DSM ningekupa contact za Dr Mboneko ni Dr mzuri wa ngozi
Mimi msamaha ninatafsiri kama kumsahe mtu na kumuachilia moyoni kama mie mwanzo nilikuwa namchukia ilembaya kwa mambo anayofanya lakini badae nikamsamehe na kuanza kumuombea na kumuhurumia kuwa hajui atendalo na pia kutonipenda na kutoniheshimu isiwe sababu ya kumchukia labda moyo wake...
Hahaha I love JF jamani kuna watu wako smart humu ndani duh nikweli nilimefanya kila njia nimesali sana nikaamua nimsamehe na nikamuomba tukae chini tuyaongee ili tutengeneze ya yeye aniambie yanayo muuzi niyaache na mie nimwambie yanayoniuzi ayaache ila imeshindikana ni kweli anaomba msamaha...
Habari zenu,
Maisha ni safari ndefu sana na inamilima na mabonde. Kwa upande wangu mimi ni mwamamke umri miaka 43 nina watoto. Katika maisha haya nimepitia mambo mengi sana na nimejifunza mengi mno ila nimegundua hakuna kitu kizuri na kitamu kama kuishi maisha huru ya amani na upendo.
Yani...
Guru Master asante sana umeongea mambo mazuri sana ya kutukumbusha mamlaka na nguvu tulizo nazo wanadamu ila shetani ni mmbaya sana hapendi tujue mambo kama hayo maana yanatuongezea confidence na kutusogeza mbele za Mungu.
Kuongea na Mungu inawezekana kabisa ila kwa kufuata kanuni hizi...
Wanaume walevi ni tatizo maana akipanda dk 5 nyingi kamaliza unabaki na ny.... zako wala hajali kesho kutwa tena akuacha njiani yani ni balaa unambembeleza punguza pombe zinamaliza nguvu mtu hajali hivi mnafikiri mmeoa mallaika Gabriel? Mmnatutia sana majaribuni nyinyi wanaume
Inategemea aisee mimi i believe in second chance na imework for me ,kwetu sisi tena ndo imeimarisha mapenzi na kuthamini mno penzi letu maana tulisambaratika kila mmoja akaenda njia yake lakini tukashindwa kusahauliana yani kila mmoja akawa anammisi mwenzie lakini unarudije baada ya muda kupita...
Wanaume mtagongewa sana tu hivi mnafikiria wanawake ni watumwa sio? Yani wao hawahitaji kuwa na furaha mnapendwa lakini mnajifanya wajeuri mnaonywa mnajifanya viburi wake zenu mnafikiri wao ni mawe hawana hisia, mwanamke anajipendekeza wee lakini hata hushtuki wala hujali ukiondoka asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.