Ijue Historia ya Kabila la Wapare

Wale watani zao wanasema neno pare limetokana na neno piga kwa kikwao yaani Wapare=Wapige.
 
Nimeipenda, ni historia nzuri sana. Pia nimejifunza vitu. Huu utafiti uendelezwe. Wapare wanaweza kuwa ni jamii ya WALUGURU wa Morogoro. Kuna mengi yaliyoelezwa direct yako kwa waluguru pia.

Kikubwa zaidi, walikotokea. Ameandika kuwa ni Kenya... Kwa utamaduni wao na maumbile yao, masalia yao Kenya hayawezi kuwa Gikuyu wala Luo, Kamba, "Wang'amba" ambao nao ni Waluguru walio hamia huko.

Wabeja sanaa kwa kahistoria katamu .
 
Imekaa powa sana, sema ipo nyingine humu. Sema mwenzeni natokea kuwapenda sana mabint wa kipare, only relation nilizo wai kuenjoy mbaka kumoyo mabinti wa kipare aseee. Binti Meeda wa Usangi na mwigine Bintii Kanywepe aliyetokea Lushoto, those two walipumbaza my moyooo.
Kama mimi mkuu,wapare wananichanganya akili sana na ni waaminifu sana,nitamkumbuka milele yule mtoto wa kipare japo tuliachana!
 
haaaalooooo!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom