Tarehe imetajwa mkuu, ni mimi nadhani sikuwapata vizuri kama nirudi kanda au la. Au inabidi nireport tawi husika?, kama ni tawi sijaambiwa chochote kuhusu tawi
Wakuu hivi kama ulifanya usaili wa benki katika kanda fulani, na umepigiwa kutoka HQ ya hiyo bank umefaulu usaili na unaambiwa ureport tarehe fulani.
Hapa unareport kwenye kanda husika uliyoombea na ulifanyia usahili au HQ?
MSAADA PLZ.
Habari wakuu,
Natumai mko poa, natafuta kijana mmoja aliyepo Iringa mjini mwenye uwezo mzuri na uzoefu wa kutengeneza Software awe aliyehitimu Shahada ya IT au related programs ili awe mshiriki wangu tufungue kampuni ya IT hapa Iringa Mjni. Kwa info zaidi nicheki PM. Asante!!
Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.