Kuripoti kazini benki: Je, naripoti kwenye kanda husika uliyoombea na ulifanyia usahili au HQ?

jian

Member
Apr 2, 2020
17
14
Wakuu hivi kama ulifanya usaili wa benki katika kanda fulani, na umepigiwa kutoka HQ ya hiyo bank umefaulu usaili na unaambiwa ureport tarehe fulani.

Hapa unareport kwenye kanda husika uliyoombea na ulifanyia usahili au HQ?

MSAADA PLZ.
 
Tulishajua kuwa mwanetu sio mwezetu tena, kitengo cha mpunga sio mchezo

Najua hayo mengineyo ni porojo tu, ulitaka tujue wewe sio mwezetu

Nayeyuka kitahilatahila
 
Wakuu hivi kama ulifanya usaili wa benki katika kanda fulani, na umepigiwa kutoka HQ ya hiyo bank umefaulu usaili na unaambiwa ureport tarehe fulani.

Hapa unareport kwenye kanda husika uliyoombea na ulifanyia usahili au HQ?

MSAADA PLZ.
Piga simu uulize
 
Una report kwa HR
 
Tumia njia waliokucheki kuwasaka manake hata hujawa muwazi ni benki gani hio.All in all kua makini na mambo muhimu kama hayo usije jutia pengine ata tarehe ya kuripoti ushaisahau pia
 
Wapigie simu upate maelezo ya kutosha na usiwe muoga kuuliza key Information vijana wa siku hizi umesoma lakini muoga,pata maelezo ya kutosha,means wamekuita kazini bila hata kupewa mkataba au offer,Sasa ukienda kweli hicho kituo Cha kazi watakutambua vipi hata introduction letter haujapewa,
 
Kazi kweli kweli au ni benki za wahindi
 
Back
Top Bottom