Mshahara mwezi huu umewahi sana

Mungu amewalinda mko salama.

Natoa Pongezi Tele kwa Serikali sikivu ya CCM kwa Kuendelea Kutujali Watumishi. Asante Mama.

Uzi Tayari.
Na KWELI KIMA CHA CHINI MIL.2 inawajali sana Ccm oyee
JamiiForums1980995331.jpg
 
Wajameni mwezi huu oktoba vipi tena wiki endi ndo hiyooo imewadia na njaa ni kali au mambo hadi next week..
 
Back
Top Bottom