Kuna mdada nimempa mimba alafu maisha yangu hayaeleweki. Nifanye nini?

Kwanza hongera sana kwa kupata mtoto kingine ningekushauri kuwa sio jambo jema kutoa mimba,,,, " jaribu kutengeneza maisha sasa ya kuweza kuilea Mimba pamoja na mwenza wako anaitaji ukaribu wako sana sasa ukiwa umeanza kumkataa sasa uje unaweza kumsababishia kuweza kujichukulia hatua nyingine mbaya za kupoteza maisha yake"
 
Akapime na ngoma kabisa shwaini mkubwa
Labda alikuwa hataki haya mambo
JamiiForums729318519.jpg
 
Nadhani itakupa akili ya nn ufanye,we kubali tu.....huo ndiyo mwanzo wa wewe kutumia akili vizuri ili ufanikiwe.....
 
Back
Top Bottom