Kama umesoma vyuo ambavyo vipo accredited PhD utapata. PhD watakuomba vyeti vya degree na masters tu kwa experience yangu ya kuishi huku nje ila sijajua kwa Tanzania. Pia uwe na research proposal yenye akili, sio ya ubabaishaji. Shida utakayopata hapo ni ufadhili kwa mujibu wa GPA zako itakua...
Akale wapi? central? hivi mtu akupe video for free, halafu uchukie matangazo? mabongo mmerogwa,? hivi hujui yeye analipwa kwa hayo matangazo? anzisha channel yako basi, uwe unajitafutia videos mwenyewe zisizo na matangazo. Na kinachokukera haswa ni nini wakati unaweza uka click video ianzie wapi...
Mh. Mbowe kayasema haya leo mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu wa kanda ya Nyasa katika ukumbi wa Igimbi mkoani Mbeya.
Mwandishi: Nini kauli yako juu ya kupotea kwa msaidizi wako Ben Saanane?
Mh. Mbowe: Mambo mengine yanapokua katika masuala ya kiuchunguzi sio kila jambo...
Samahanini wakuu kwa ku resurrect the old thread, mimi nimeomba annual leave ya 28 days ambayo kila mtu yuko entitled kila mwaka. Familia yangu (wife na dogo) wako ughaibuni. Hii imekaaje? kuna haja ya kibali hapa?
Kauli ya Prof. Kitila Mkumbo:-
Utafiti ulifanyika kabla ya vyama vyote kutangaza wagombea!! Kabla ya Ilani kuzinduliwa! Kabla ya kampeni kuanza kufanyika!! Sasa unapomuuliza mtu atamchagua nani wakati hata wagombea wengine hawajui unategemea nini?
Au ulikuwa ni utafiti kati ya Magufuli na...
Mimi nimesoma African Virtual University, bt it is no longer because it was a collaboration contract btn university of dar es salaam and RMIT University of Australia. Haipo tena ila product zake usipime. Sio kama za ki-tz univ
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.